Dkt. Slaa yuko korokoroni kwa kumtetea Lissu, halafu Lissu anasema aliyemleta Lowassa na kuiua Chadema siyo Mbowe ni Dkt. Slaa. Lissu ni next Level

Simple TAL is a pure and true Judas πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜
 
Slaa huyuhuyu aliyehama chama kwasababu ya Lowasa kwa hasira na kashfa za kutosha, ndiye aliyekuwa mgombea uraisi akanyang'anywa tonge Leo hii isemwe kuwa ni yeye ndiye alimkaribisha Lowasa ..acheni kutufanya mamburula jamani....naukumbuka sana ule wakati kuliko wakati mwingine wowote
 
Ulikuwa miongoni mwao?Wenyewe waliokuwamo ndiyo wanakuhabarisha.
 
Hujawaambia watu kama Lissu aliulizwa hilo swali na ilikuwa lazima ajibu, kama huo ndio ukweli angesemaje? Na nyinyi mlitaka kujua ukweli. Angejiumauma mngekuja tena humu. Tatizo hamjui hata mnataka nini
Yaani sisi CCM hatujui tunachotaka?

Wewe kweli ni book keeper πŸ˜‚
 
Lissu amegundua kampeni ya kumchafua Mbowe ina buma na anataka kujionyesha kuwa ana uwezo wa kutibu vidonda alivyosababisha mwenyewe. Ndio maana akasema pia kuwa atalinda heshima ya Mbowe!

Amandla...
 
Yaani umo ndani ya vikao vya CCM Dodoma, unatumia simu Yako kujadili uchaguzi wa WAPINZANI,

Hayo ni matumizi mabaya ya simu na pesa za posho upokeayo.
 
TAL kwa hulka yake ni mkweli, si mnafiki na hana muhali. Sasa utamaduni wa kusema ukweli Watanzania wengi hatuna kwa kisingizio cha kulinda heshma, uoga au hata unafiki.
 
Kati ya wewe na Lissu nani aliyekua kamati kuu chadema na kushirik mazungumzo? Tukuamini wewe au tunuamini Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…