chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mwambuzi kwenye sheria hamna kitu, hoja zake mahakamani ni sawa na nyumba ya tofali za barafu jangwaniTupo hapa gerezani na BAK Mwabukusi
Una swali kinembe 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambuzi kwenye sheria hamna kitu, hoja zake mahakamani ni sawa na nyumba ya tofali za barafu jangwaniTupo hapa gerezani na BAK Mwabukusi
Una swali kinembe 😂
Simple TAL is a pure and true Judas 😆😅😂🤣😁Baada ya kumsikiliza Tundu Lisu Kwenye Mdahalo wa jana nimejiridhisha Lisu ni Chaguo la Mungu
Katikati ya upinzani mkali Kutoka Kwa Mbowe na Wapambe wake Lisu anamtetea Freeman Kwenye mambo mawili
1. Mbowe hatumii ruzuku ya Chadema bali inatumika kuwalipa Mshahara akina Mnyika, Mrema, Kigaila nk
Pili, Mbowe siye aliyemuuzia Chadema Mzee Lowassa bali ni Dr Slaa akishirikiana na baba askofu Dr Gwajima wa CCM
Katika ubinadamu wa kawaida siyo rahisi Mtu kumtetea mpinzani wake huyu Lisu ni Chaguo la Mungu
Katika hali ya kawaida siyo rahisi Mtu kuelezea udhaifu wa mtetezi wako aliyeko Jela Kwa sababu ya kukutetea Wewe mwenyewe, hakika Lisu ni Mtumishi wa Mungu
Mbowe mwenyewe hajawahi kumtetea Tundu Lisu Kwa jambo lolote Sana Sana anamsimanga tu Kwa Gari bovu bovu alilomuazima mwaka 2008
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu 😄😄
Transparency at workPili, Mbowe siye aliyemuuzia Chadema Mzee Lowassa bali ni Dr Slaa akishirikiana na baba askofu Dr Gwajima wa CCM
Katika ubinadamu wa kawaida siyo rahisi Mtu kumtetea mpinzani wake huyu Lisu ni Chaguo la Mungu
Sheria ni michakato 😂😂😂Mwambuzi kwenye sheria hamna kitu, hoja zake mahakamani ni sawa na nyumba ya tofali za barafu jangwani
Na mzigo wake mkubwa sanaLisu yuko kuwavuruga kweli kweli
OK!Mwenge ya Dodoma
Mbege imeshushwa na Machame Luxury coach 😄😄
Ulikuwa miongoni mwao?Wenyewe waliokuwamo ndiyo wanakuhabarisha.Slaa huyuhuyu aliyehama chama kwasababu ya Lowasa kwa hasira na kashfa za kutosha, ndiye aliyekuwa mgombea uraisi akanyang'anywa tonge Leo hii isemwe kuwa ni yeye ndiye alimkaribisha Lowasa ..acheni kutufanya mamburula jamani....naukumbuka sana ule wakati kuliko wakati mwingine wowote
Ni bora iwe hivyo kuliko adanganye halafu asulubiwe.Transparency at work
Wapi chianga au maporomoko?? 😹Nipo Itunduma nimeagiza msapulo kwanza.
Yaani sisi CCM hatujui tunachotaka?Hujawaambia watu kama Lissu aliulizwa hilo swali na ilikuwa lazima ajibu, kama huo ndio ukweli angesemaje? Na nyinyi mlitaka kujua ukweli. Angejiumauma mngekuja tena humu. Tatizo hamjui hata mnataka nini
Tena nyinyi ni wanafiki wakubwa. Mnampa resources Mbowe ashinde huku mnampa Msigwa jukwaa la kumsema Mbowe.Yaani sisi CCM hatujui tunachotaka?
Wewe kweli ni book keeper 😂
Uwii🤣🤣🤣🤣 kupyatilaTayari mapema sana.Nasubiri jioni nikapyatile.
Lissu amegundua kampeni ya kumchafua Mbowe ina buma na anataka kujionyesha kuwa ana uwezo wa kutibu vidonda alivyosababisha mwenyewe. Ndio maana akasema pia kuwa atalinda heshima ya Mbowe!Baada ya kumsikiliza Tundu Lisu Kwenye Mdahalo wa jana nimejiridhisha Lisu ni Chaguo la Mungu
Katikati ya upinzani mkali Kutoka Kwa Mbowe na Wapambe wake Lisu anamtetea Freeman Kwenye mambo mawili
1. Mbowe hatumii ruzuku ya Chadema bali inatumika kuwalipa Mshahara akina Mnyika, Mrema, Kigaila nk
Pili, Mbowe siye aliyemuuzia Chadema Mzee Lowassa bali ni Dr Slaa akishirikiana na baba askofu Dr Gwajima wa CCM
Katika ubinadamu wa kawaida siyo rahisi Mtu kumtetea mpinzani wake huyu Lisu ni Chaguo la Mungu
Katika hali ya kawaida siyo rahisi Mtu kuelezea udhaifu wa mtetezi wako aliyeko Jela Kwa sababu ya kukutetea Wewe mwenyewe, hakika Lisu ni Mtumishi wa Mungu
Mbowe mwenyewe hajawahi kumtetea Tundu Lisu Kwa jambo lolote Sana Sana anamsimanga tu Kwa Gari bovu bovu alilomuazima mwaka 2008
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu 😄😄
Kati ya wewe na Lissu nani aliyekua kamati kuu chadema na kushirik mazungumzo? Tukuamini wewe au tunuamini Lissu?Slaa huyuhuyu aliyehama chama kwasababu ya Lowasa kwa hasira na kashfa za kutosha, ndiye aliyekuwa mgombea uraisi akanyang'anywa tonge Leo hii isemwe kuwa ni yeye ndiye alimkaribisha Lowasa ..acheni kutufanya mamburula jamani....naukumbuka sana ule wakati kuliko wakati mwingine wowote