Dkt. Tulia Ackson akutana na Rais Putin kujadiliana namna bora ya kuimarisha amani duniani

Dkt. Tulia Ackson akutana na Rais Putin kujadiliana namna bora ya kuimarisha amani duniani

Yaani Waafria wote tunashoindwa kutatuwa matatizo yetu wenyewe?

Mimi nasema ili Kongo pakae sawa, wageni wote waondoke, waachwe wenyewe wauwane mpaka wafikie mwisho wa kuuwana. Wasiingilliwe na yeyote.
Unafiki wa waafrika ndiyo tatizo, mtakaa mtakubaliana atatokea mtu Jamii ya lissu, atawafuata wazungu na kutengeneza jambo lingine!
 
Alikuwa anaongea haraka sana kana kwamba anasoma vifungu vya mswada wa sheria uliopelekwa bungeni kwa hati ya dharula ili wabunge vilaza wasielewe waitikie tu 'ndiyooo na kugonga meza'. Hakumpa nafasi mtu wa kutafsiri (translator) afanye kazi yake kwa ufasaha.
 
Yaani Waafria wote tunashoindwa kutatuwa matatizo yetu wenyewe?

Mimi nasema ili Kongo pakae sawa, wageni wote waondoke, waachwe wenyewe wauwane mpaka wafikie mwisho wa kuuwana. Wasiingilliwe na yeyote.
Wale watusi pale mashariki ambao wacongoman wanataka waondoke, wapo kwao ni watusi wa congo na walijikuta pale baada ya ule mgawanyo wa Berlin, na uhuru wa congo uliwakuta pale. Wakitaka waondoke wawaache waondoke na ardhi Yao..otherwise Ili amani ipatikane wachukuliwe kama wacongoman wengine na serikali ya congo waige mpango wa mwalimu Kambarage wa kufungua military base Kila kanda na kuchanganya makabila..pale waletwe wa magharibi na wao wapelekwe huko magharibi kwenye military bases za Taifa...itasaidia amani
 
Mchango wake ni mdogo kuishawishi Russia kumaliza vita vyake na Ukraine!
Anyway sifa zimwendee Mom kwa kuupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom