MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Yuko vizuri, on point
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DRC walifocus zaidi ukanda huo wa Kinshasa ila mashariki ni kama walipatenga,,,,,,ukiangalia wanajeshi wao wengi upande wa mashariki discipline hamna, vifaa shida hata malipo shida ndo maana wengi morale na vita hawana na pia rahisi kutumika na maadui sababu ya shida zaoHalijiwezi kwasabab ndani ya serikali ya Congo kuna viongozi ambao wana asili ya Rwanda Bhrundi Uganda na pia Tanzania
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha amani Duniani.Kuhusiana na mgogoro unaoendelea baina ya Urusi na Ukraine, Dkt. Tulia amesema “Kabla ya kuzungumza naye tayari tulishazungumza na Maspika wa nchi zote hizo mbili na sisi kama Umoja wa Mabunge Duniani tumezungumza naye kama Kiongozi wa nchi katika sura ambayo tunaweza kuziweka pamoja nchi zote mbili na tutarajie kwamba IPU itatengeneza fursa ya Mabunge ya pande zote ili kuweza kuzungumzia amani katika maeneo yao ya utawala”
Chanzo na jionee:
View: https://youtu.be/KLkGw9pwbao?si=EtkIJ-rpRE3dgZzv
Unadhani nani wa kuwaondoa pale wakati Wana nguvu pale...Russia ai intervine.Yaani Waafrika wote tunashoindwa kutatuwa matatizo yetu wenyewe?
Mimi nasema ili Kongo pakae sawa, wageni wote waondoke, waachwe wenyewe wauwane mpaka wafikie mwisho wa kuuwana. Wasiingilliwe na yeyote.
Wewe bibi wa kizamani umepitwa na wakati.huna ujualoSikushangai, ndipo uwezo wako wa uelewa ulipoishia.
Una fikra finyu sana.
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha amani Duniani.Kuhusiana na mgogoro unaoendelea baina ya Urusi na Ukraine, Dkt. Tulia amesema “Kabla ya kuzungumza naye tayari tulishazungumza na Maspika wa nchi zote hizo mbili na sisi kama Umoja wa Mabunge Duniani tumezungumza naye kama Kiongozi wa nchi katika sura ambayo tunaweza kuziweka pamoja nchi zote mbili na tutarajie kwamba IPU itatengeneza fursa ya Mabunge ya pande zote ili kuweza kuzungumzia amani katika maeneo yao ya utawala”
Chanzo na jionee:
View: https://youtu.be/KLkGw9pwbao?si=EtkIJ-rpRE3dgZzv
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha amani Duniani.Kuhusiana na mgogoro unaoendelea baina ya Urusi na Ukraine, Dkt. Tulia amesema “Kabla ya kuzungumza naye tayari tulishazungumza na Maspika wa nchi zote hizo mbili na sisi kama Umoja wa Mabunge Duniani tumezungumza naye kama Kiongozi wa nchi katika sura ambayo tunaweza kuziweka pamoja nchi zote mbili na tutarajie kwamba IPU itatengeneza fursa ya Mabunge ya pande zote ili kuweza kuzungumzia amani katika maeneo yao ya utawala”
Chanzo na jionee:
View: https://youtu.be/KLkGw9pwbao?si=EtkIJ-rpRE3dgZzv
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha amani Duniani.Kuhusiana na mgogoro unaoendelea baina ya Urusi na Ukraine, Dkt. Tulia amesema “Kabla ya kuzungumza naye tayari tulishazungumza na Maspika wa nchi zote hizo mbili na sisi kama Umoja wa Mabunge Duniani tumezungumza naye kama Kiongozi wa nchi katika sura ambayo tunaweza kuziweka pamoja nchi zote mbili na tutarajie kwamba IPU itatengeneza fursa ya Mabunge ya pande zote ili kuweza kuzungumzia amani katika maeneo yao ya utawala”
Chanzo na jionee:
View: https://youtu.be/KLkGw9pwbao?si=EtkIJ-rpRE3dgZzv
Na bunge la dunia hupewi iwapo wewe si mbunge katika nchi yako, kwa maana nyingine, Sugu hata akishinda kwa kura milioni saba, hawezi kutangazwaJimbo la mbeya ,Sugu analitaka, ili tulia abakie na bunge la dunia
DrTulia is making me proud ...pambana!
Asante kwa taarifa loInapendeza sana...
Very professional, hakuna mahali chama tawala wala serikali yake imetajwa kwa kusifiwa...
Kumbe ameshawatembelea na kuzungumza na Israel na Palestine kimya kimya...
Na akitoka hapo anaenda kuzungumza na Ukraine...
Cc: Mahondaw
Teh teh teh 😃 😃 kazi kweli kweliMhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha amani Duniani.
Old is gold.Wewe bibi wa kizamani umepitwa na wakati.huna ujualo
Na Samia pale alikuwa anaongea na nani? Rais wa Korea?Hiyo picha imekaa vizuri Tulia yuko vizuri kichwani yuko peke yake na balozi tu ujumbe wa urusi watatu.Putin ,Speaker na mkalimani wa kirusi na kingereza
Sii kama ile ya ziara ya Rais Samia Korea kusini wakorea watatu watanzania karibu 30
Hii mechi ya Urusi iko vizuri kuliko ile ya Korea kusini
Tanzania kwenye vitu serious itume watu wenye akili
Nimependa hii picha ya majadiliani
Ile picha ya majadiliano Korea kusini ilikuwa aibu kwa nchi halafu hata haikuwa high level kama hii
Angalia mtoto wa kike wa kinyakyusa akiongea kwa confidence kwa raisi wa Taifa kubwa duniani la Russia kwa kujiamini na utulivu ki executive
Putin hasikilizi wajinga wajinga ndio maana katulia vinginevyo angemtuma tu spika wa bunge Duma au waziri wa mambo ya nje Lavrov aongee naye sio yeye personality
Sawa pia, why not?Anatafuta ukatibu mkuu wa umoja wa mataifa
Ikiwa unachosoma hukielewi basi hata kusikiliza huwezi?Inachekesha sana. Sijui wanazungumza nini katika levels gani globally. Inawezekana wanajadili issue za ukaidi wa Mpina 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣