orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Mwamba anafanya cloning kinomaAlikuwa PUTIN mwenyewe au copy yake? Maana nasikia jamaa ana copy tatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba anafanya cloning kinomaAlikuwa PUTIN mwenyewe au copy yake? Maana nasikia jamaa ana copy tatu.
Sure halina faida kwetuili tangazo peleka urusi huko alipo spika wa bunge
Tunaongea ile picha ya Korea kusini mezani wakorea kusini watatu ujumbe wa Tanzania karibu 30Na Samia pale alikuwa anaongea na nani? Rais wa Korea?
Samia atawaumiza sana mioyo, lakini mkubuke tu, kazi ya Allah haina makosa.
Naam, useme walikuwa kina nani hao watatu?Tunaongea ile picha ya Korea kusini mezani wakorea kusini watatu ujumbe wa Tanzania karibu 30
Linganisha na hiyo picha Spika Tulia akiongea na Putin
Tulia Yuko fit Na loaded kichwani na material kichwani hahitaji msaida wa aina yeyote issue relevant yuko tayari kuongea na Puti an bila ki note toka kwa wasaidizi au kunong'onezwa au notes written
Ikiwa unachosoma hukielewi basi hata kusikiliza huwezi?
Kuna video na kinachozungumzwa siyo siri. Umekurupuka bila kuisikiliza wala kuitazama video.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Vizuri sana mr.president
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha amani Duniani.
Kuhusiana na mgogoro unaoendelea baina ya Urusi na Ukraine, Dkt. Tulia amesema “Kabla ya kuzungumza naye tayari tulishazungumza na Maspika wa nchi zote hizo mbili na sisi kama Umoja wa Mabunge Duniani tumezungumza naye kama Kiongozi wa nchi katika sura ambayo tunaweza kuziweka pamoja nchi zote mbili na tutarajie kwamba IPU itatengeneza fursa ya Mabunge ya pande zote ili kuweza kuzungumzia amani katika maeneo yao ya utawala”.