Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

Hongera sana Dr. Tulia, at least tumepata mtu mwenye kichwa kuongoza bunge.
 
Na wale 19 na yule wa Nkasi kura zao zipo humo🤣🤣🤣🤣🤣

Pep
 
Hahahahahah huyo amewekwa wala hilo halina kificho mengineyo ni formality tu.
 
Na Ndugai nae kapiga kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na watoto wa familia waambiwe wamchague mama yao. Unafikiri mchezo watamchagua nani kama sio bu mkubwa wao?
 
Hii inadhihirisha kuwa nchi yetu ni ya ajabu na viongozi wa ajabu. Hivi mtu msomi mwenye kujua maana ya demokrasia ya kweli katika ka karne hii unawezaje kufurahia ushindi wa 100%?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…