Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

Dahh.. Joab atakuwa anajisikiaje deputy wake kuwa boss wake!!
Busara pale ilitakiwa ajihuzuru hadi ubunge abaki kula tu pensheni nzito nzito kama inavyoainishwa na katiba ya nchi.

Lakini kwa mwafrika ni ngumu sana, sijui bungeni atakuwa anatoaje michango yake, nikimaanisha toka uspika hadi benchi!

Jambo gumu sana hilo kwa kweli.
 
Hao wote ulio wataja wana makando kando.Tatizo ni kwamba mlihalalisha uovu.
 
Katika maisha yako ogopa kuwa na msaidizi mwanamke katika kazi
 
Ndoa ya mkeka hainaga hata ubweche.. Ni mwendo wa chukuchuku.

Nahisi watanzania(sisi) ndio mapopoma zaidi duniani.
 
wafuasi wa Gaidi wamenuna sana.
baada ya kusikia kishindo cha Dr. Tulia.
 
Magufuli uchaguzi wa 2020 alishinda kwa zaidi ya asilimia 90 Leo hii yuko wapi? Kuna Jambo la kujifunza hapo
 
Bunge la mazuzu
Yaani ila yanafurahi kweli, baadae (miaka ya mbeleni) vizazi navyo vitatushangaa tuliwezaje kuwa na bunge la namna hii (kama sisi tunavyo washangaa wakina mangungo)
 

Hakuna wabunge wa Chadema!. Unatakiwa kusema wabunge wa Ndugai
 
Kwenye hesabu hakuna kitu kama hicho. Wapiga kura wote ni vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…