Dola ndio mhimili mkuu wacheni ubushlawyer. Tulia ni mwanasheria kasema sawa. Mihimili mingine ina wajibu zake za kikatiba japo mhimili mkuu inabidi kuheshimu bila kuingilia mihimili minginem mihimili mingine ina wajibu kuheshimu dola bila kuingilia kazi zake kama ilivyobanishwa na katiba.Kila nikijaribu kukumbuka na kutafakari zaidi kuhusu kauli za huyu Mama alizozitoa mbele ya Rais wa JMT kuwa mihimili yote haiko sawa, kwamba mhimili wa dola ni mkubwa zaidi kuliko miingine. Hii kauli binafsi naichukulia kua ni ya kujikosha na kujipendekeza, si kauli ya kutamka kwenye media mbele ya macho ya umma.
Spika wa aina ya Dkt Tulia hata kama kuna jambo linalohatarisha ustawi wa taifa ikatokea likafanywa na serikali ataangalia tu wala hatofanya uamuzi wowote kwa vile dola ndio mhimili mkuu? Maana Dola siyo Mungu wala malaika kwamba haikosi.
Tunatambua kua kwa katiba yetu hii iliyopo dola ndiyo kila kitu lakini usiifanye mihimili miingine kutokujiamulia mambo yake ya uhuru, lakini kila mhimili una mipaka ya majukumu yake huru bila kuingiliwa na mwingine. Huyu alimaamisha kwamba Ndungai alikosea kwa kauli zake? Alikuwa anamaanisha kua mhimili wa bunge si lolote wala chochote?
Tukiwa na bunge chini Spika aina ya Dkt Tulia ni hatari sana kwa ustawi wa taifa na kwa maslahi vya taifa. Niwashauri wanaccm wenzangu, hata kama kuna wakati tunatakiwa kulinda maslahi vya chama lakini Dkt Tulia hafai kabisa . Huyu mwanamama anataka kulitia bunge Kibogoyo liwe kama mihuri wa gogongea kupitisha hoja za serikali hata kama hazifai.
Hawa ndio wasomi wetu, wapo radhi kupotosha ili kulinda maslahi yao binafsi.Haijalishi wewe ni CCM au upinzani, tafadhali kemea watu wa aina hii kwa maslahi ya taifa letu. Tuachane na watu aina ya Tulia hawatufai.
Ni akina nani hao ambao hawataki kujitokeza wazi mkuu?Tatizo wanaolihitaji katiba hawajitokezi wazi. Wameishia kuwatanguliza Cdm . Huku wao unafiki ukiwasumbua
Hata kwa katiba ya sasa serikali inatakiwa ipate kibali cha kukusanya kodi yoyote kutoka bungeni na bunge ndilo linatakiwa liridhie mipango yote ya serikali. Bahati mbaya sana bunge letu limekuwa la kugonga muhuri tu mambo ya serikali badala ya kuwa msimamizi na muwajibishaji wa serikali.Tulia alikuwa anaongea legally na administatively.
Nchi ina dola ambayo ina mihimili mitatu, executive ambayo inatoa mkuu wa nchi, amri jeshi mkuu na kiongozi wa serikali. Huyu ana mandate ya kukusanya kodi na kuwagawia mahakama ili wajiendeshe, kuwagawi bunge ili wajiendeshe.
JPM aliwahi kumjibu Paskali Mayalla kuwa, kuna mhimili "ulijichimbia chini zaidi".
Rais kama mkuu wa nchi, picha yake inakaa mahakamani kwa nafasi ya ukuu wa nchi. Rais picha yake iko bungeni kwa nafasi ya ukuu wa nchi. Lakini hakuna picha ya spika mahakamani, wala hakuna picha ya jaji mkuu bungeni au ofisi yoyote ya serikali.
Pengine siku tukipata katiba mpya kama tunataka, tuwe na mfumo kama Israel, Uingereza au Ujerumani. Rais awe mkuu wa nchi ceremonious ila tuwe na waziri mkuu ambae atakuwa ni kiongozi wa serikali na CinC ambae bado nafasi yake ya kukusanya kodi na mahakama na bunge kuleta "bakuli"' bado kunamfanya kiongozi wa serikali kuwa na uzito sana ukilinganisha na wenzie kwenye judiciary na legislature.
Kwa umasikini ulio nchini na fursa zilizo nchini, tungekuwa na think tank ya nini tufanye walau nchi yetu iongeze export earnings izalishe ajira ipuze imports kwa kukuza uwekezaji nchini.
Haya tunayoyajadili, hao wakuu wa bunge, serikali na mahakama, posho zao za ustaafu zimenona kweli. Ni lini walala hoi nao wataona fursa ya kuzalisha wakauza kwa bei nzuri kwa soko linaloeleweka na bei nzuri ili hata wakitaka nao kusomesha watoto wao Feza wawe na financial muscles.
J3 njema.
Tulia alikuwa anaongea legally na administatively.

Alikuwa sahihi na ataendelea kuwa Sahihi siku zote. Danganyaneni tu lakini hivi vitu havilingani na havitalinganaKila nikijaribu kukumbuka na kutafakari zaidi kuhusu kauli za huyu Mama alizozitoa mbele ya Rais wa JMT kuwa mihimili yote haiko sawa, kwamba mhimili wa dola ni mkubwa zaidi kuliko miingine. Hii kauli binafsi naichukulia kua ni ya kujikosha na kujipendekeza, si kauli ya kutamka kwenye media mbele ya macho ya umma.
Spika wa aina ya Dkt Tulia hata kama kuna jambo linalohatarisha ustawi wa taifa ikatokea likafanywa na serikali ataangalia tu wala hatofanya uamuzi wowote kwa vile dola ndio mhimili mkuu? Maana Dola siyo Mungu wala malaika kwamba haikosi.
Tunatambua kua kwa katiba yetu hii iliyopo dola ndiyo kila kitu lakini usiifanye mihimili miingine kutokujiamulia mambo yake ya uhuru, lakini kila mhimili una mipaka ya majukumu yake huru bila kuingiliwa na mwingine. Huyu alimaamisha kwamba Ndungai alikosea kwa kauli zake? Alikuwa anamaanisha kua mhimili wa bunge si lolote wala chochote?
Tukiwa na bunge chini Spika aina ya Dkt Tulia ni hatari sana kwa ustawi wa taifa na kwa maslahi vya taifa. Niwashauri wanaccm wenzangu, hata kama kuna wakati tunatakiwa kulinda maslahi vya chama lakini Dkt Tulia hafai kabisa . Huyu mwanamama anataka kulitia bunge Kibogoyo liwe kama mihuri wa gogongea kupitisha hoja za serikali hata kama hazifai.
Hawa ndio wasomi wetu, wapo radhi kupotosha ili kulinda maslahi yao binafsi.Haijalishi wewe ni CCM au upinzani, tafadhali kemea watu wa aina hii kwa maslahi ya taifa letu. Tuachane na watu aina ya Tulia hawatufai.
Kojoa ulale mihimili iko sawaHakuna Sehemu Tulia kakosea alichosema Tulia ndio uhalisia nyingine ni porojo tu, raisi ni mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa Serikali na zaidi ni mwenyekiti wa chama, unamlinganisha na CJ au Spika kweli?.
Hawa hazi zao ni sawa na mawaziri tu, kwanza hata shughuli zao za kila siku zinategemea wizara kwa mfano Mahakama inaitegemea wizara ya katiba na sheria hali kadhalika bunge