Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

Masele alikuwa Rais wa bunge sijui la Madola, alileta nini sasa? vyeo vingine havina la maana zaidi ya sifa
 
Hongera zake...CCM inatoa fursa kwa kila mtanzania kuitangaza nchi yake...nidhamu kitu cha msingi sana

Mnakumbuka Comred ..marehemu Membe alimkosea heshima magufuli kipindi kile akakataliwa kuthibitishwa kama mtanzania asiye na shaka...alikosa fursa kama hizi kule jumuiya ya madola

0685292038 Mark Baraka.
 

View: https://twitter.com/IPUparliament/status/1717871714451734965?t=FLOROVYofiV1r4_X1iFGGQ&s=19
 
Waliomchagua na yeye alieshinda ni wapumbavu ,takataka period
 
Unaona ni akili sasa hiyo aliyofanya huyo magu kwa hilo?
 
Ukiona majitu ya magharibi aka mabeberu yanakusifu. Jitathmini.

Unaweza ukawa ushauza nchi yote.

NO FREE LUNCH...
 
Hii taarifa imeejaa ushugwadu eti ushindi wa kishindo. Hivi unaujuwa ushindi wa kishindo wewe
 
Kwa zile rushwa zilizotembezwa sishangai.. Maokoto ya dpw yamesaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kwake
 
Hii nchi Ina vijana wapumbavi sana yaani umekurupuka hata hujatawaumza mimavi yako unatuandikia sisi huu ujinga? Wanyonge gani anaowajali? Very stupid [emoji35]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwa zile rushwa zilizotembezwa sishangai.. Maokoto ya dpw yamesaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa zile rushwa zilizotembezwa sishangai.. Maokoto ya dpw yamesaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…