Dkt. Tulia Ackson anastahili kuwa Rais wa Tanzania

Hili la Dr. Mpango nililisikia na kulileta humu Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!

Inaelezwa hali ya afya yake na umri from 2025 utakuwa sii rafiki!, japo anaweza kuwa ikitokea ghafla kama ya naniliu!.
P
Umri wa mpango ni changamoto ila kwa kweli ana sifa zote za kuwa rahisi.

Tulia hata sijuagi anasimamia nini zaidi ya huku na PhD. Yupo yupo tu amelifanya bunge kama wizara ya mhimili wa serikali.
 
She is so good sema tuu wewe humjui! Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria? mimi namkubali sana!.
1. Kwanza mimi ni miongoni mwa tulioambiwa Tulia ndio atakuwa Spika wetu toka ile 2019 , Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

Hivyo ilipotokea fursa Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

Na alipochaguliwa, Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
View: https://youtu.be/ZM_D9HAPi5M?si=87krNp9PcIWGWsdZ
P
 
Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.

Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria.

Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa Dr. Tulia Ackson.

Huyu msomi huwezi kumfanisha na akina Jenista Mhagama waliopata madivisheni ziro, au sijui Halima Mdee. Hiki ni chuma kweli kweli.

Hata anavyoliongoza Bunge unaona kabisa huyu ni msomi wa kisawasawa.

2025 twende na hiki chuma. Tusipoteze tunu adhimu kama hii.
Umerogwa wewe
 
Wewe ni zaidi ya furushi
 
Nahisi wewe ndie Tulia mwenyewe!
Kama sie basi ni kati ya haya;
1. Iko shida kichwani tumia dawa zinazopatika mirembe!
2. Kama unatumia basi zime-expire nenda wakubadilishie
 
Labda Raisi wa Nyumbani kwenu, kwenye familia yenu.
Hafai hata kuwa raisi wa kijiji.
 
Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.

Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria.

Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa Dr. Tulia Ackson.

Huyu msomi huwezi kumfanisha na akina Jenista Mhagama waliopata madivisheni ziro, au sijui Halima Mdee. Hiki ni chuma kweli kweli.

Hata anavyoliongoza Bunge unaona kabisa huyu ni msomi wa kisawasawa.

2025 twende na hiki chuma. Tusipoteze tunu adhimu kama hii.
Awe rais wa hilo komwe lako labda
 
Atatufaa mwaka 2030 au 2035 .
2025 yupo Mwenyekiti wa Chamani kwetu !
Hatuna kawaida ya kumpinga Mwenyekiti wetu !
Kwanza mwenye ubavu huo hayupo !
Labda atake mwenyewe !
 
Tulia anazifahamu changamoto za walimu vizuri
Tukae tupo nchi hii huyu madam atakuwa rais
Hata hiyo nafasi ya Spika hafai kabisa. Na tena Mungu aepushie mbali binadamu huyu kupewa dhamana ya kuiongoza nchi. Kuna maamuzi mengi ameyasimamia ambayo huko mbeleni yanaweza kulitumbukiza hili taifa kwenye janga kiulinzi na kiusalama. Kama Spika unaoruhusu mazingira rahisi ya adui kupandikiza watu wake basi wewe ni tatizo. Maamuzi ya kutoa kigezo cha jkt kwenye ajira za vyombo vya ulinzi na usalama ni kati ya maamuzi yasiyofaa hata chembe. Yaani watu wapo radhi kuweka rehani usalama wa nchi kisa tu kuwafurahisha wananchi .

Miaka ya mbeleni tutayakumbuka haya.

Pia bahati mbaya sana hii nchi yetu huwa haina misingi imara katika maamuzi. Yaani leo itakuja serikali hii au Bunge hili watasema kitu fulani sio sawa kibadilishwe, ikija serikali na Bunge lingine jipya nalo linaona sio sawa na linasema ibadilishwe, wakija wengine ni hivyohivyo kutengua maamuzi . Tofauti na Taifa kama Israel na wengine ambao linapokuja suala la Usalama wa nchi unakuta inakuwa ni sera ya kudumu hata iwe serikali mpya au Bunge halitathubutu kuhoji Bungeni. Lakini hapa kwetu Bunge lipo huru kujadili publicly.
 
Back
Top Bottom