Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ni zamu yenu hii wanawake kutuonyesha kuwa mnaweza

Hongera zake, Huyu ni shabiki wa Simba kama ilivyokuwa kwa Ndugai hivyo ndio kusema hicho kiti kina bahati na wanazi wa Msimbazi na Mbeya city.
 
Tunawashukuru Wapiga Kura wa Mbeya (M) kwa kutuletea Wakili Msomi Dr Tulia (LLD)
 
Unatatizo la ufeminist kichwa mwako,as long as kesha pata mim na wew tunafaidikaje?
 
Sawa ulipigania saba fisadi na kibaka Andrew Chenge awe spika yote maisha poa tu mtetea wezi na mafisadi akina Chenge
Mkuu, huko CCM huwa mnatumia vigezo gani kumtambua kada kama “mwizi” na “fisadi” au “mtu safi”? Sijawahi kusikia maamuzi rasmi ya kumng’oa fisadi toka kwenye chama. Au ni siri za ndani?
 
Dr. Msomi Tulia Ackson ameteuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge.

Kinachosubiriwa na kupigiwa kura tu na wabunge wa CCM.

Ukubali ama ukatae Tulia ndie spika mpya wa JMT.

Kazi Iendelee.

This country is doomed to fail.

Ni Dr hamna kitu kama Dr Msomi!😂
 
Moja hakuna shule inaitwa Lolera bali ni Loleza, na mwisho ni wajinga tu ndio walidhani Tulia hatapitishwa kuwa spika, sasa ni zamu ya Wabeijing, mihimili yote itakuwa chini ya Wabeijing, wanaume itabidi turudi kuchoma vyapati.
 
Sidhan kama hiyo ni breaking news kwa gu maana nilijua toka mwanzo ndugai alivyobwaga manyanga, nilijua tu spika atakuwa yeye...ukiniuliza sabb sijui ila nilijua tu hivyooo
 
Good choice, congrats to her record that has spoken volume.
 
CCM ni adui wa Tanzania. Inachofikiria wakati wote ni kuwanyima sauti wananchi. Hivyo kila wakati wanatafutwa watu wa kuziba midomo ya umma.
Huu ndio ukweli wenyewe. Na wananchi wote wanaihoji serikali wanapewa jina la CHADEMA. Tulia keshawahakikishia anaenda kulidhibiti bunge (taming the parliament).

“Chadema” hawapo bungeni lakini wanasakwa mitaani hadi kwenye mitandao ili kunyamazishwa sauti zinazohoji watawala zisisikike kabisa bali za mapambio ya kusifu na kuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…