Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wamtoe na jaji mkuu waweke mwanamke.
Kikwete hii nchi ameshaikatia hati miliki.
 
Naibu speaker aliekuwa anazuia Bunge kujadili masuala ya ufisadi Bungeni hafai kuwa speaker.
 
Karata zimechezwa vizuri
Nafasi ya uspika amewekwa
Mtu ambaye Mama ata mmudu
Na tulia ndo chaguo sahihi
Mama anajiandalia mazingira ya 2025 .... lazima aweke wale anaowaweza. Akina mama wataula sana awamu hii ......!!
 
Sehemu karibu zote nyeti zimeshikwa na wanawake dah hii nchi yangu inaenda wapi sijui.
 
Back
Top Bottom