peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Aliyekuwa Naibu Spika Wa Bunge Dkt Tulia Ackson Mwansasu amepitishwa na Kamati Kuu ya CCM Chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-----
Dr. Msomi Tulia Ackson ameteuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge.
Kinachosubiriwa na kupigiwa kura tu na wabunge wa CCM.
Ukubali ama ukatae Tulia ndie spika mpya wa JMT.
Kazi Iendelee.
roho zinawaumaaaaaaChadema wanahusikaje na Bunge lake?
siye twara lahaaaaa chadema mntaishia mahakamani tuuu uongozi ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiSiyo Nchi itakoma?
hata akiwa anakuja amevaaa magunia ndiyo chaguo letuu mtakoma kususa kwenuuuuuuuuMumpeleke hata seminar basi ya jinsi ya kuvaa.
tuachieni bunge letu boraaa nyie katengenezeni lakwenu mnalotaka tulia anafaaaaaaaaaaaaaaaSeems she was well prepared [emoji6], "haitokei hivi hivi, hivi vitu vinapangwa mnajiangaisha bure" in JPM voice ... Dr Tulia anaweza kuwa bora kuliko Ndugai lakini hataweza kutupa bunge bora (Pascal Mayala, 2022).
Jamaa wa kule walitaka mwizi chifu Chenge!hamia burundi
hahahahahaaaaaaa wamekwamaaaaaJamaa wa kule walitaka mwizi chifu Chenge!