Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


Haka karoho kamadaraka deal done!!😀😀
 
Akiongea na wanahabari, msemaji wa chama cha mapinduzi Shaka Hamdu shaka amesema chama cha mapinduzi kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa jamhuri ya muungano wa Tanzani

Hili lilitarajiwa na nimekuwa nikiandika hapa...

Mosi, hakuna aliyekuwa anamzidi Tulia kwa uzoefu...

Pili, imekuwa kama ni utaratibu wa CCM kumrithisha naibu wa Spika nafasi ya Uspika inapokuwa wazi..

Tatu, imekuwa ni nafasi pekee ya kuweza kuwa na wanamama wawili katika mihimili ya JMT
 
Kura ya Nini Sasa???
 
bado mama anateua jaji mwanamke mbowe ajiandae hata akikata rufaa baada ya hii hukumu ya maisha jela aje adunde
 
Hivi kweli mkuu, kuna nani wewe unadhani anaweza kupingana na executive? nchi hii Tanzania. kwa uhalisia kabisa.
Binafsi, ningeshangaa sana kama wasingempitisha Dr. Tulia.
Mnufaika mwenzao
 
Muendelezo wa ujinga wa Ndugai tena uliozidi maana huyu anajifanya anaijua sana sheria. Bunge la kidikteta na uonevu linaendelea.
 
Eti uzoefu.. sema mambo mengine.

Tunasubiria kusikia nini kilifanyika hadi kufikia kumpata yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…