Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

roho zinawaumaaaaaa

Kwa Sasa CHADEMA haipo bungeni ndio tuone ujinga wake. Maana wanapataga umaarufu kwa kuinyonga
Hamna kitu wameweka kibaraka was ikulu ili bunge liendelee kuwa dhaifu. Very stupid indeed.
 
Hongera Dr.

I saw this coming.

Rais Mwanamke.

Spika Mwanamke.

Waziri wa Ulinzi Mwanamke.
Tupate na jaji mkuu mwanamke tujue tumrwakabidhi nchi wanawake moja kwa moja

USSR
 
Pascal Mayalla komaaa na huyuhuyu akupigie debe kwenye teuzi zijazo. Ulimtabiria na kumpiga debe sana humu tangu zamani.

It's now or Never!
Ni utaratibu wa CCM siku zote Naibu spika ndiyo huwa anakuwa Spika! Hakuna jipya! Kama kuna mtabiri wa kweli humu tupeni jina la atakae kuwa Naibu spika,na hapo ndiyo pagumu!!
 
Mihimili miwili mikuu ya utawala sasa rasmi mikononi mwa akina mama kutoka kwa akina baba. Kutoka kwa JPM na JYN mpaka "era" ya sasa ya SSH na TAM. Akina mama ni zamu yao ya kuidihirishia Afrika ya kuwa wanakiaminika wanaweza.
 
Hivi kweli mkuu, kuna nani wewe unadhani anaweza kupingana na executive? nchi hii Tanzania. kwa uhalisia kabisa.
Binafsi, ningeshangaa sana kama wasingempitisha Dr. Tulia.

Kwa kauli yako hakuna haja ya kuwa na bunge, maana hakuna wakuiface executive.
 
Omba Mungu ukupe ufahamu.
Ufahamu nilionao ndiyo huu niko huru kuliko nyie wenye roho mbaya mtu kapata kiti roho zinawaumaaaaaaaaaaaaaaaaa tatizo mlikimbia umande pengine wewe hapo ndiyo ungekuwa umepitishwa kuwa spika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…