Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

hata wewe unamuwaza ndiyo maana umenijibu ungetulia ningejuwa humuwazi

Ningetuliaje unawaza ujinga. Eti Rais ateue Jaji mkuu mwanamke kuja kuzuia Rufaa ya Mbowe?. Yani siku hizi Rais anateua watu sio kutumikia nchi Bali kuumiza haki za watu?.
 
Ni kweli kabisa angekuwa Chenge, Kashilila au Masele Serikali ingepelekeshwa sana lakini mambo mengi yangeenda vema sana. Kwa utaratibu wa kumweka Tulia Serikali italipelekesha Bunge na mambo yatakuwa mabaya sana na kuna uwezekano mkubwa sana upinzani ukashamiri Zaidi. Ili isiwe hivyo basi labda Daktari Tulia abadilike sana na amgeuke Samia kwa minajili ya kufuata Imani ya kisomi na pia afikirie kuwa kuna siku naye anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii yetu pendwa!
 
Siku za maisha yako hapa Dunia wapiganie wale wote wanaonyimwa HAKI achana na CCM. Nasema watetee kadrid uwezavyo. Ccm ni mashetani
ushaona wapi ccm kuna gaidi? chadema ni mashetani mpaka magaidi wanao sasa nani mbaya kati ya ccm na chadema wenye magaidi?
 
Ni kweli kabisa angekuwa Chenge, Kashilila au Masele Serikali ingepelekeshwa sana lakini mambo mengi yangeenda vema sana. Kwa utaratibu wa kumweka Tulia Serikali italipelekesha Bunge na mambo yatakuwa mabaya sana na kuna uwezekano mkubwa sana upinzani ukashamiri Zaidi. Ili isiwe hivyo basi labda Daktari Tulia abadilike sana na amgeuke Samia kwa minajili ya kufuata Imani ya kisomi na pia afikirie kuwa kuna siku naye anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii yetu pendwa!
serikali haiendeshwi kwa kugeukana hayo mambo yapo chadema ndiyo maana hawasongi mbele wao kila siku dili tu mara wauze chama kwa lowassa makengeza ni mtu wa dili nakuwageuka wenziesana siyo ka ccm
 
Back
Top Bottom