Dkt. Tulia Ackson, Mawaziri wa CCM hawana majibu usiwabane sana

Fighter101

Member
Joined
Jan 8, 2022
Posts
46
Reaction score
64
Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM

Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri.

Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe we we hiii nakuhurumia.

Maana watadhalilika na Serikali utaivua nguo.
 
Hizo trilioni 360 wanaziachia halafu wanakuja kutakaba na tozo?!
Trilioni 300 ni magumashi ya magufuli na report zake za makinikia za akina profesa osolo. Wakatoa madai ya kodi kwa Barrick ya kiasi hicho cha fedha. Kihasibu TRA wakaingiza madai hayo kwenye vitabu ila kiuhalisia hizo fedha hazipo. Magufuli alikuwa na mihemuko ya kuwafurahisha wajinga kwa vitu ambavyo havido. Mpina ni kivuli tu cha upuuzi wa Magufuli, alikuwa mfuasi wake.
 
Hiyo ni kazi ya Mahakama kuamua, sasa ni kwanini hawajaipeleka huko Trap?
 
Kwani huyo PhD Tulia una muona ana akili sawa sawa? Au tukio la leo ndo unataka kumuona shujaa?
Kifupi ni kuwa Doktori wa Uchumi ameshindwa kufafanua alichokisema ambapo Supika hakukielewa Kama tusivyoelewa wengi, sasa hapo mwenye kumtilia mashaka ni wewe ambae unashindwa kulielewa hilo.
 
Trilioni 300 ni magumashi ya magufuli na report zake za makinikia za akina profesa osolo. Wakatoa madai ya kodi kwa Barrick ya kiasi hicho cha fedha. Kihasibu TRA wakaingiza madai hayo kwenye vitabu ila kiuhalisia hizo fedha hazipo. Magufuli alikuwa na mihemuko ya kuwafurahisha wajinga kwa vitu ambavyo havido. Mpina ni kivuli tu cha upuuzi wa Magufuli, alikuwa mfuasi wake.
Good

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ulizia yaliyomkuta marehemu samweli sitta ndo utajua naongelea nini.
Sitta alifanyaje kwani? Alimuhoji nani? Ndio maana ukiwa kwenye position fulani hivi kubwa ni vizuri ujilinde mwenyewe tena kisawasawa lasivyo wajuba watapita na cheo chako
 
Mheshimiwa Spika,
Naomba niseme kweli bila kupapasa macho kuhusu yanayokupata Bungeni sasa hasa kuhusu Waziri wa Fedha na Uchumi. Kwanza, ni wazi kabisa kwa ujumla wabunge ulionao Bungeni baadhi yao ni weledi sana (akiwemo Mpina). Na kwa bahati mbaya sana unao pia wabunge na mawaziri wasiolewa lolote (akiwemo Mwigulu Nchemba). Haya ni matokeo ya uchaguzi mbovu wa 2020. Mwigulu Nchemba hana uwezo wa kufikiri na kuisaidia Tanzania katika masuala ya Uchumi. Uvivu wa kufikiri wa Mwigulu Nchemba umelifanya taifa zima liamke kukataa tozo. Nchemba ni mchovu na hayuko mbunifu yakutosha kuleta jipya katika kuleta maendeleo. Pole sana hayo ndiyo mazao ya CCM. Tafuteni watu wabunifu na sio watiifu, kwa sababu utiifu hautusaidii kupata maendeleo.
 
Naona aibu kusema nilifundishwa uchumi na 'Osolo'.
Magu alimuona Osolo ni magumashi, akamnyima teuzi...
 
Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM

Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri.

Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe we we hiii nakuhurumia.

Maana watadhalilika na Serikali utaivua nguo.
Wabongo tunapenda sana habari za kusisimka ambazo hatujui msingi wake upo vipi.

Mwigulu amesema kuwa suala lilimalizwa hata kabla JPM hajaaga dunia, makubaliano waliyofikia ndio yalizaa kampuni ya TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya serikali na Barrick.

Hizo pesa hazipo tangu wakati huo mwaka 2020. Hakuna wa kudhalilika hata mmoja.
 
Kifupi ni kuwa Doktori wa Uchumi ameshindwa kufafanua alichokisema ambapo Supika hakukielewa Kama tusivyoelewa wengi, sasa hapo mwenye kumtilia mashaka ni wewe ambae unashindwa kulielewa hilo.
Hiyo clip ilikatwa kwa malengo ila Kuna clip ambayo aliendelea kufafanua vizuri hadi spika akaridhika.
 
Back
Top Bottom