Fighter101
Member
- Jan 8, 2022
- 46
- 64
Trilioni 300 ni magumashi ya magufuli na report zake za makinikia za akina profesa osolo. Wakatoa madai ya kodi kwa Barrick ya kiasi hicho cha fedha. Kihasibu TRA wakaingiza madai hayo kwenye vitabu ila kiuhalisia hizo fedha hazipo. Magufuli alikuwa na mihemuko ya kuwafurahisha wajinga kwa vitu ambavyo havido. Mpina ni kivuli tu cha upuuzi wa Magufuli, alikuwa mfuasi wake.Hizo trilioni 360 wanaziachia halafu wanakuja kutakaba na tozo?!
Hiyo ni kazi ya Mahakama kuamua, sasa ni kwanini hawajaipeleka huko Trap?Trilioni 300 ni magumashi ya magufuli na report zake za makinikia za akina profesa osolo. Wakatoa madai ya kodi kwa Barrick ya kiasi hicho cha fedha. Kihasibu TRA wakaingiza madai hayo kwenye vitabu ila kiuhalisia hizo fedha hazipo. Magufuli alikuwa na mihemuko ya kuwafurahisha wajinga kwa vitu ambavyo havido. Mpina ni kivuli tu cha upuuzi wa Magufuli, alikuwa mfuasi wake.
Kifupi ni kuwa Doktori wa Uchumi ameshindwa kufafanua alichokisema ambapo Supika hakukielewa Kama tusivyoelewa wengi, sasa hapo mwenye kumtilia mashaka ni wewe ambae unashindwa kulielewa hilo.Kwani huyo PhD Tulia una muona ana akili sawa sawa? Au tukio la leo ndo unataka kumuona shujaa?
ulizia yaliyomkuta marehemu samweli sitta ndo utajua naongelea nini.Ni kazi ya spika kuibana serikali itoe majibu ya kuridhisha
GoodTrilioni 300 ni magumashi ya magufuli na report zake za makinikia za akina profesa osolo. Wakatoa madai ya kodi kwa Barrick ya kiasi hicho cha fedha. Kihasibu TRA wakaingiza madai hayo kwenye vitabu ila kiuhalisia hizo fedha hazipo. Magufuli alikuwa na mihemuko ya kuwafurahisha wajinga kwa vitu ambavyo havido. Mpina ni kivuli tu cha upuuzi wa Magufuli, alikuwa mfuasi wake.
Sitta alifanyaje kwani? Alimuhoji nani? Ndio maana ukiwa kwenye position fulani hivi kubwa ni vizuri ujilinde mwenyewe tena kisawasawa lasivyo wajuba watapita na cheo chakoulizia yaliyomkuta marehemu samweli sitta ndo utajua naongelea nini.
Hakika !Waziri kachokwa na wenzake lile halikufanyika kwa bahati mbaya na yeye pia hakulitarajia! Ilikuwa siku mbaya sana kwake
Wabongo tunapenda sana habari za kusisimka ambazo hatujui msingi wake upo vipi.Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM
Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri.
Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe we we hiii nakuhurumia.
Maana watadhalilika na Serikali utaivua nguo.
Hiyo clip ilikatwa kwa malengo ila Kuna clip ambayo aliendelea kufafanua vizuri hadi spika akaridhika.Kifupi ni kuwa Doktori wa Uchumi ameshindwa kufafanua alichokisema ambapo Supika hakukielewa Kama tusivyoelewa wengi, sasa hapo mwenye kumtilia mashaka ni wewe ambae unashindwa kulielewa hilo.
Smart911Muda unaongea...