Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu.

Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza nchi yetu kuwa ya ki dikteta kama Urusi.

Kwasasa amekuwa anatafuta wale wana CCM ambao wanajua hawataweza kushinda kihalali na yeye akiwa mojawapo. Amekuwa akionyesha makucha yake kwa kujaribu kutafuta wabunge bila mafanikio ambao nao ni kama yeye ambao wanatamaa ya madaraka lakini hawapedwi na sio wanasiasa wenye mvuto kwa wananchi.

Amekuwa anajiaminisha kama vile ana nguvu bila kujua kwamba nguvu yake ni ndogo kuliko anavyo fikiria. Lakini yeye na katibu wa zamani Bushiru pamoja na Covid-19 hawatatosha kubeba haya matakwa yake.

Akiendelee hivi atatolewa kwasababu Rais kasha fanya maamuzi ya kwamba yeye anataka kuwa historia kwa vizazi na sio tu kuwabeba wabunge. Rais kachukuwa uamuzi sahihi wa kuweka historia baada ya kuona Magufuli walivyo mbadilikia kwa muda mfupi. Huyu spika awe makini sana kama mmegundua hata waongeaji wa Chama wamekaa mbali na matamko yake.

Huyu ndiye wale madikteta uchwara ambaye inabidi achague upande mapema

Niongee Chadema wanamsubiri Lema kwa kazi moja kubwa. Lema anajulikana sana na uwezo mkubwa wa kupata itelegensia ya ndani ya CCM na kuanzia mwezi wa nne tutaanza kusikia madudu ya Tulia. File lake linamsubiri Lema arudi. Ndiyo maana Chadema wamenyamaza kwanza

Lazima tujue hii katiba mpya Rais Samia ndiye atapata sifa zote na sio Chadema. Hivyo kupigana na katiba nzuri na mpya Rais Samia hatakubali na uzuri Chadema wanajua hilo. Hivyo tutaanza kusikia katiba ya Mama Samia baada tu ya makubaliano ya vifungu muhimu. Hivyo kupinga katiba itakuwa kumpinga Mama
Huna lolote zaidi ya kuwa muanzisha majungu na dalali wa majungu, Spika anasimamia weledi na taaluma kama wewe ni dalali wa hao wabunge watupu vichwani tambueni imekula kwenu mazima.
 
Alikuwa mwenyekiti kwenye kamati na mzee Mwaitama ya katiba kabla hajawa mbunge nenda kafuatilie ujue aliingiaje kwenye siasa kabla ya kuropoka.
 
Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu.

Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza nchi yetu kuwa ya ki dikteta kama Urusi.

Kwasasa amekuwa anatafuta wale wana CCM ambao wanajua hawataweza kushinda kihalali na yeye akiwa mojawapo. Amekuwa akionyesha makucha yake kwa kujaribu kutafuta wabunge bila mafanikio ambao nao ni kama yeye ambao wanatamaa ya madaraka lakini hawapedwi na sio wanasiasa wenye mvuto kwa wananchi.

Amekuwa anajiaminisha kama vile ana nguvu bila kujua kwamba nguvu yake ni ndogo kuliko anavyo fikiria. Lakini yeye na katibu wa zamani Bushiru pamoja na Covid-19 hawatatosha kubeba haya matakwa yake.

Akiendelee hivi atatolewa kwasababu Rais kasha fanya maamuzi ya kwamba yeye anataka kuwa historia kwa vizazi na sio tu kuwabeba wabunge. Rais kachukuwa uamuzi sahihi wa kuweka historia baada ya kuona Magufuli walivyo mbadilikia kwa muda mfupi. Huyu spika awe makini sana kama mmegundua hata waongeaji wa Chama wamekaa mbali na matamko yake.

Huyu ndiye wale madikteta uchwara ambaye inabidi achague upande mapema

Niongee Chadema wanamsubiri Lema kwa kazi moja kubwa. Lema anajulikana sana na uwezo mkubwa wa kupata itelegensia ya ndani ya CCM na kuanzia mwezi wa nne tutaanza kusikia madudu ya Tulia. File lake linamsubiri Lema arudi. Ndiyo maana Chadema wamenyamaza kwanza

Lazima tujue hii katiba mpya Rais Samia ndiye atapata sifa zote na sio Chadema. Hivyo kupigana na katiba nzuri na mpya Rais Samia hatakubali na uzuri Chadema wanajua hilo. Hivyo tutaanza kusikia katiba ya Mama Samia baada tu ya makubaliano ya vifungu muhimu. Hivyo kupinga katiba itakuwa kumpinga Mama
wabunge wote waliobebwa na madiwani wapigwe chini wote,mbunge au diwani ashinde kihalali.
 
Dkt Tulia Ackson ni mtu anayejiamini na ni very smart ... Naona mmeanza kumchafua.
Usmart upi unaouongelea, Kama ni mavazi huvaa smart bt Si sana.

Usmart kichwani Sina HAKIKA,

Nisingetegemea kiongozi mkuu tena wa mhimili wa kutunga SHERIA akihamasisha UVCCM kupambania viongozi wasiangushwe ktk uchaguzi,

Au kiongozi mkuu wa Bunge kusema CCM kamwe haitaachia DOLA,

Kusoma ni kitu kingine, KUELIMIKA ni jambo lingine.
 
😂😂😂😂
Ukweli unauma, na kabla ya 2025 wale wote wanasamehewa na kurudi kundini. Endelea kutumika kwa manufaa ya mwenyekiti.
Kurudi kundini siyo ishu mbona Lowasa na Sumaye waliwahi kimbia ccm 2015 lakini baadaye walirudi ccm.Uovu ukitendwa na serikali ya ccm siyo passport ya kuhalalisha upumbavu uendelee kutumika nchi,hata kama Mbowe anahusika sheria itaendelea kumhukumu yeye na Magufuri pamoja na Ndugai mpaka mwisho wa dunia.
 
UMEONGEA MAMBO MEENGI,LKN HUJASEMA LOLOTE,NI UPUUZI UJINGA NA LUJIISHA UPEPO,KATIBA KATIBA.MNATAKA KATIBA YA WATANZANIA AU KATIBA YA WANASIASA?,
3140EA1A-78C8-4227-9FAB-2BA78CC0B8DF.jpeg
 
Usmart upi unaouongelea, Kama ni mavazi huvaa smart bt Si sana.

Usmart kichwani Sina HAKIKA,

Nisingetegemea kiongozi mkuu tena wa mhimili wa kutunga SHERIA akihamasisha UVCCM kupambania viongozi wasiangushwe ktk uchaguzi,

Au kiongozi mkuu wa Bunge kusema CCM kamwe haitaachia DOLA,

Kusoma ni kitu kingine, KUELIMIKA ni jambo lingine.
Sio kila unalisoma lifanyiwe kazi kama lilivyo bila kuzingatia maadili, miiko na tabia za wahusika, hivi mfano ushoga ukiingizwa kwenye mitaala utakubali kuufanyia kazi? Namnukuu baba wa taifa mwl. Nyerere “Democracy can also be demonstrated in a single party system”. Multiparty system is working in Europe and American but not elsewhere…chukua demokrasia ya Ghana na uchumi wake then kafananishe na South Africa au Libya ya Gaddafi utapata jambo…Au demokrasia ya China vs Germany, France n.k. Bora kufulia pesa na sio kufulia ubongo..
 
Sio kila unalisoma lifanyiwe kazi, ushoga ukiingizwa kwenye mitaala utakubali kusoma? Multiparty system is working in Europe and American but not elsewhere…chukua demokrasia ya Ghana na uchumi wake then kafananishe na South Africa au Libya ya Gaddafi utapata jambo…bora kufulia pesa na sio kufulia ubongo..
Where is your National Constitution standards till now??
 
Sio kila unalisoma lifanyiwe kazi kama lilivyo bila kuzingatia maadili, miiko na tabia za wahusika, hivi mfano ushoga ukiingizwa kwenye mitaala utakubali kuufanyia kazi? Namnukuu baba wa taifa mwl. Nyerere “Democracy can also be demonstrated in a single party system”. Multiparty system is working in Europe and American but not elsewhere…chukua demokrasia ya Ghana na uchumi wake then kafananishe na South Africa au Libya ya Gaddafi utapata jambo…Au demokrasia ya China vs Germany, France n.k. Bora kufulia pesa na sio kufulia ubongo..
Are u sure unanijibu mm?

Anyway, kuhusu utamaduni wa kimagharibi kupenya ktk shule zetu ni suala la KIKATIBA, mifumo yetu ya Elimu haisimamii vizuri kulinda Tamaduni zetu waafrika,

Tukijitegemea na kupunguza kutembeza bakuli kutamsaidia kuondoa Hali hii,

USHOGA na mambo kama hayo ndo unaleta Matetemeko na majanga mengi duniani.

Turudi msalabani,

Tuombe TOBA na REHEMA Ili Mungu aliponye Taifa letu.

Amen
 
Where is your National Constitution standards till now??
My standards on that particular subject are Crystal clear, this country’s constitution was made under the supervision of one political party, It is still strange and puzzling to find the morality of claims from other multiple parties despite their zero involvement in the first place…Utasikia katiba imevunjwa, then katiba haifai, sasa ikivunjwa si ndio iwe furaha kwao, I guess so things will never change including politics….#Let’s keep it our way…
 
Back
Top Bottom