Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Mimi nasema hata mfumo wa vyama vingi ni muendelezo wa kutembeza mabakuli, CCM, Chadema, CUF, ACT wote waungane kiwe chama kimoja wakosoane humo weee mpaka wapate suluhu na maisha ya mtanzania wa chini yainuke juu, hizi nyingine ni tamaa ya ruzuku, njaa za madaraka and so on… mbona mimi sina tamaa kabisa na madaraka na nimewainua watu kadhaa kwenye mtaa kwa private program bila hata msaada wa serikali wa moja kwa moja na bado maisha yanaendelea! Fake ID, no need for recognitionnn ni of any kind…Are u sure unanijibu mm?
Anyway, kuhusu utamaduni wa kimagharibi kupenya ktk shule zetu ni suala la KIKATIBA, mifumo yetu ya Elimu haisimamii vizuri kulinda Tamaduni zetu waafrika,
Tukijitegemea na kupunguza kutembeza bakuli kutamsaidia kuondoa Hali hii,
USHOGA na mambo kama hayo ndo unaleta Matetemeko na majanga mengi duniani.
Turudi msalabani,
Tuombe TOBA na REHEMA Ili Mungu aliponye Taifa letu.
Amen