Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

Mimi nasema hata mfumo wa vyama vingi ni muendelezo wa kutembeza mabakuli, CCM, Chadema, CUF, ACT wote waungane kiwe chama kimoja wakosoane humo weee mpaka wapate suluhu na maisha ya mtanzania wa chini yainuke juu, hizi nyingine ni tamaa ya ruzuku, njaa za madaraka and so on… mbona mimi sina tamaa kabisa na madaraka na nimewainua watu kadhaa kwenye mtaa kwa private program bila hata msaada wa serikali wa moja kwa moja na bado maisha yanaendelea! Fake ID, no need for recognitionnn ni of any kind…
 
Unajua kuwa vyama vingi vya upinzani vimeanzishwa na CCM na vinalipwa Ili kuhujumu WAPINZANI halisi?

Nia njema ni kuvifuta, tuwe na vyama viwili au vitatu pekee vya upinzani.

Vilete changamoto Kwa Serikali.
 
Nani kakuambia Dr. Tulia hapendwi?
 
Nani kakuambia Dr. Tulia hapendwi?

Anapedwa na nani zaidi ya wezi. Ubunge kila mtu anajua hajashinda na hawezi kushinda kihalali. Huyu dada wakati wa mchakato wa katiba yaani alipendekeza Raisi apewe nguvu kuliko ilivyo hata sasa alikuwa kwenye kamati na Dr Lwaitana na ndiyo mwanzo wake wa kupendwa na Raisi wetu ambaye alitaka kuwa dikteta. Inawezekana ni msomi mzuri lakini sio mwanasiasa anayependwa na wananchi huo ndiyo ukweli hana mvuto wala swagger la kisiasa.
 
Huo mvuto wa kisiasa unapimwa na kizio gani maana jimboni kwake anakubalika kwa kazi alizofanya sasa mvuto upi unaouzungumzia.

Usichokifahamu ni kuwa wananchi wa sasa ni waelewa kuliko wale wa miaka ya 70,80 na 90 watu hawavutiwi na porojo na propaganda watu wanavutiwa na kazi.
 

Anakubalika vipi wakati uchaguzi wake wa kwanza ni huo uchafuzi wa 2020! yaani kweli unaweza kuwa na akili sawa ukasema uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa haki!. Ulikuwa wa ajabu kiasi kwamba uchaguzi wa Raisi haujatoka mpaka leo namba za kura kwa majimbo. Hapendwi zaidi ya wale wanaopenda udikteta na hawezi kuchaguliwa. Unasema kaleta vitu wabunge hawana pesa wenyewe ni waongeaji tu huu utapeli wananchi wanaujua ni wajinga tu hawajui hili
 
Hao wajinga ndio wapiga kura wenyewe na ndio waliomchagua na ndio wanao mpenda na ndio watao mchagua tena 2025 kutokana kazi nzuri aliyowafanyia.
 
Hao wajinga ndio wapiga kura wenyewe na ndio waliomchagua na ndio wanao mpenda na ndio watao mchagua tena 2025 kutokana kazi nzuri aliyowafanyia.

Hakuna mbunge hata mmoja kachaguliwa 2020 wote wametangazwa. Hawa ni wabunge wa viti maalumu wameletwa kuziba demokrasia tu na yule mzee mwingine kashatolewa.
 
Wewe ni qumanina,hii katiba Hadi mamako anaihitaji
Hakuna mtu mwenye matusi anayehitaji katiba mpya nikushauri fanya kazi kwa bidii , tafuta hela katiba utaiona safi sana Kuna watu wametafuta hela kihalali wanaishi maisha bora wakiwa Korea kaskazini na kinachobaki ni story za YouTube . Wewe unahitaji hela sio katiba, Nakaribisha panic na matusi na , makasiriko.
 


Wewe ni bure kweli unafikiri tunaotaka katiba mpya ni kwasababu zetu binafsi! Sisi tunajali nchi na watu wa chini sio binafsi. Nani kakwambia watu hapa wanataka katiba kwasababu binafsi hizo ni akili za kitoto!. Wananchi wamechoka umasikini na unyanyasaji ni lazima tusaidie kizazi kijacho. Wewe kama hutaki tupishe
 
🤣🤣🤣
 
Wewe ni bure kweli unafikiri tunaotaka katiba mpya ni kwasababu zetu binafsi! Sisi tunajali nchi na watu wa chini sio binafsi. Nani kakwambia watu hapa wanataka katiba kwasababu binafsi hizo ni akili za kitoto!
Fanya kazi kwa bidii utawaona wanasiasa kama madaktari, walimu , wahandisi , kiufupi wapo kazini , wekeza kwenye uzalishaji mali na ndio mtaji wa kumtoa masikini kwenye umasikini , hakuna katiba iliyowahi kumtoa mtu kwenye umasikini. Kuna masikini marekani tumewaona, Kuna masikini Sweden nk . Kazi, bidii Nidhamu katiba ni mambo ya wanasiasa, kama kazi Yako siasa tafuta katiba mimi na watoto wangu tutaendelea kutafuta hela tukifurahia vyama vya siasa kama team za mpira wa miguu.
 
Alikuwa mwenyekiti kwenye kamati na mzee Mwaitama ya katiba kabla hajawa mbunge nenda kafuatilie ujue aliingiaje kwenye siasa kabla ya kuropoka.
Aliingiaje fuatilia wewe mwenye maumivu ya nafsi. Uwezo wake haufai kuwa spika wa bunge?, vipi kuhusu elimu yake ya PHD ya sheria, haiendani na mahitaji ya taasisi anayofanyia kazi sasa?.
 


Alichosema leo kwa mkurugenzi wa uchaguzi leo sasa watu wanaanza kunielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…