Dkt. Tulia Ackson ningependa uutendee haki uvaaji wako kama Spika wa Bunge

Dkt. Tulia Ackson ningependa uutendee haki uvaaji wako kama Spika wa Bunge

Don Moen

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2020
Posts
1,636
Reaction score
3,142
Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge.

Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷
kadhalika na Watanzania wote.

Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso.

Natamani upate tu mtaalam wa mavazi aukushauri na kukuvika mavazi sawa na umbo na hadhi yako aaah ungependeza sana.

Barikiwa sana na kazi njema huko uliko.

Screenshot_20221010-112046_Chrome.jpg
Screenshot_20221010-111910_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom