Dkt. Tulia Ackson ningependa uutendee haki uvaaji wako kama Spika wa Bunge

Dkt. Tulia Ackson ningependa uutendee haki uvaaji wako kama Spika wa Bunge

Kuna maisha mtu unapitia hata uwe raisi wa nchi hukai sawa tena kwa mfano ngosha na huyu dk Tulia maisha ya vijijini unazeeka kwanza halafu ndo unakuwa kijana
 
Kuna maisha mtu unapitia hata uwe raisi wa nchi hukai sawa tena kwa mfano ngosha na huyu dk Tulia maisha ya vijijini unazeeka kwanza halafu ndo unakuwa kijana
Akina Mpoki sio?🤣
 
Hana ubaya mkuu mavazi tu ndio shida
Mzuri hata akivaa overcoat la garage atavutia tuu, lakini huyo mwenye sura kama mbulumbulu hata avae nini atabaki kua mbayaaaaaaaaaaaa tuu
 
Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge.

Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷
kadhalika na Watanzania wote.

Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso.

Natamani upate tu mtaalam wa mavazi aukushauri na kukuvika mavazi sawa na umbo na hadhi yako aaah ungependeza sana.

Barikiwa sana na kazi njema huko uliko.

View attachment 2382474View attachment 2382475
Bora hapo kavaa vizuri,kuna sehemu niliona kavaa matiti nje nje
 
Back
Top Bottom