Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika wa Mwanjelwa, Njelii, Docks mnataka avae kama katoka Izumbwe?Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge.
Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷
kadhalika na Watanzania wote.
Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso.
Natamani upate tu mtaalam wa mavazi aukushauri na kukuvika mavazi sawa na umbo na hadhi yako aaah ungependeza sana.
Barikiwa sana na kazi njema huko uliko.
View attachment 2382474View attachment 2382475
Sijaona tatizo kwenye mavazi yakeAnataka kumfundisha kitu anachokijua....
Ushauri mzuri sanaWewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge.
Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷
kadhalika na Watanzania wote.
Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso.
Natamani upate tu mtaalam wa mavazi aukushauri na kukuvika mavazi sawa na umbo na hadhi yako aaah ungependeza sana.
Barikiwa sana na kazi njema huko uliko.
View attachment 2382474View attachment 2382475
Watu wakikuchukia hata ukichezea maji watadai unawatimulia vumbi.Sio kidogo mkuu
Uvaaji wake hauna tatizo lolote lakini uendeshaji wake wa bunge ni wa hovyo kabisa.Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge.
Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷
kadhalika na Watanzania wote.
Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso.
Natamani upate tu mtaalam wa mavazi aukushauri na kukuvika mavazi sawa na umbo na hadhi yako aaah ungependeza sana.
Barikiwa sana na kazi njema huko uliko.
View attachment 2382474View attachment 2382475
Yule tayar ni icon inatakiwa aelekezwe namna ya kuvaa sio anajivalia tuuuMbona yuko fresh tu anapendeza alivyo siku zote. Besides kila mtu ana tastes zake za mavazi...iweje umshauri wewe fanya yako yake mwachie mwenyewe
Mjinga huyoWewe ni mvulana au binti. Maana huwezi kuwa kwenye list ya wanaume. Adabu ya woga ndio kitu gani ndugu Mtanzania mnyonge