Sina nia mbaya ningekuwa na simu yako ningekupigia mama
Hata nami, mavazi yake huwa naona hayafanani na hadhi yake.Sina nia mbaya ningekuwa na simu yako ningekupigia mama
Wewe ni mvulana au binti. Maana huwezi kuwa kwenye list ya wanaume. Adabu ya woga ndio kitu gani ndugu Mtanzania mnyongeHuyu ni mtu mkubwa mkuuu lazima niwe na adabu ya uoga
Sawasawa....Vaa hivyo hivyo Tulia wetu unapendeza. Be you. Usiwasikikize watu wanataka uvaaje, upo vizuri.
Binadamu tuna matatizo 😅😅Sawasawa....
NakaziaMbona yuko fresh tu anapendeza alivyo siku zote. Besides kila mtu ana tastes zake za mavazi...iweje umshauri wewe fanya yako yake mwachie mwenyewe
Anataka kumfundisha kitu anachokijua....Binadamu tuna matatizo 😅😅