Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ningekujibu ila kwa Sasa naacha ..Mume wake amekula hasara, kuwa na mke kama huyu ni sawa na kuwa na msukule chumbani.
Bora kuwa maskini tukiwa na amani kuliko utajiri wa mashaka na kuoana midumeAnayechagua CCM asilaumu umaskini, awe tayari kuvumilia miaka mitano nyingine ya huyu dikteta, na mark my words mkimpa mitano ikiisha katiba inabadilishwa atataka mitano mingine, hakuna mtu wa kumreplace ccm nzima.
Mkuu nimecheka sanaMume wake amekula hasara, kuwa na mke kama huyu ni sawa na kuwa na msukule chumbani.
HajaolewaMume wake amekula hasara, kuwa na mke kama huyu ni sawa na kuwa na msukule chumbani.
Uko sawaDkt.Tulia Ackson: "Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia"
Endelea kutarajia Mama Sababu Kura ni Siri ya Mtu lolote linaweza kutokea ,muitikio wa Watu sio kigezo cha CCM tu kushinda ...
Mi nashukuru Sugu ameuaga umasikini akirudi tena kuishi maisha kama yako huo utakuwa ni uzembe wakeMbeya inarudi CCM.