Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson: Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson: Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia

Anayechagua CCM asilaumu umaskini, awe tayari kuvumilia miaka mitano nyingine ya huyu dikteta, na mark my words mkimpa mitano ikiisha katiba inabadilishwa atataka mitano mingine, hakuna mtu wa kumreplace ccm nzima.
Ukimchagua mbeligiji anaweza kukuletea maendeleo nyumbani kwako
 
Queen Sindiga mwangalieni vizuri,; huyu ni kiongozi ajaye.Ingawa sijampigia kura,lakini dhamiri yangu inaniambia angeligombea chama kikubwa,angetoa ushindani mkubwa.Muda mfupi uliopita amesema amejiandaa kupokea majibu yoyote kwa sababu anatakiwa Rais mmoja tu.Tulia anasemaje????

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Tutaona wewe jipepee apo upepo wa pressure
FB_IMG_16037269470668717.jpg
 
Ukichagua upinzani unakuwa tajiri?
Anayechagua CCM asilaumu umaskini, awe tayari kuvumilia miaka mitano nyingine ya huyu dikteta, na mark my words mkimpa mitano ikiisha katiba inabadilishwa atataka mitano mingine, hakuna mtu wa kumreplace ccm nzima.
 
CCM ndio Chama Kitakachoongoza kwa kujisombea kura za kutosha katika Uchaguzi wa mwaka huu utake au usitake lakini huu ndio ukweli ulivyo maana Watanzania wengi bado tuna Imani na CHAMA achilia mbali wachache wenye maslahi yao binafsi.
Watanzania wasioelewa Mambo tu na wenye maslai ndo wanachagua CCM mtu anayejitambua hawezi chagua CCM kwa sasa
 
Ukichagua upinzani unakuwa tajiri?
Wakifanya wanachosema watakifanya biashara zitakua, ccm wameshindwa miaka 59 toka uhuru, ni muda wa kujaribu alternative. Elimu bado Tanzania imejaa vilaza, uchaguzi bado mitandao inazimwa, watu ambao biashara zetu tunafanya online tulale? Siku moja hii kuzima internet inatucost wengine milioni. Huu ushenzi ukiisha umaskini unapungua
 
Biashara zitakua? Hata sasa kama upo serious biashara yako itakua tu ila kama mvivu utaishia hapo hapo.
Nakukumbusha tu kuwa vinja bei toka 2017 hadi sasa kafungua mafuka 11 mikoa tofauti.

Dkt.Tulia Ackson: "Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia"

Endelea kutarajia Mama Sababu Kura ni Siri ya Mtu lolote linaweza kutokea ,muitikio wa Watu sio kigezo cha CCM tu kushinda ...
Ila mwitikio ukiwa upande wa Chadema, nikigezo cha kushinda,😀
 
Mtaji wa CCM ni ujinga.Ujinga ndio huu wa wazi wazi.
Kama akili yako inawaza kuolewa tu na unajiita ndume,hakika tumbo lililokuzaa wewe lina laana
Bora kuwa maskini tukiwa na amani kuliko utajiri wa mashaka na kuoana midume
 
Mbeya hawaongozwi na mwanamke mama hakikisha unatembea na dawa zako mfukoni.
 
Majina waliyakosa ndio, hata ninapopiga kura unakuta majina ubaoni yapo ila kwa msimamizi mlangoni hayapo nn maana yake. kushinda ni maneno ya kila mtu ila idadi ya kura ndio itakayosema nani mshindi.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi amesema kuwa ana uhakika Chama cha Mapinduzi kitaibuka kidedea katika Jimbo la Mbeya Mjini.

Tulia amesema hayo alipojitokeza kupiga kura, ambapo amesema kuwa amezunguka katika vituo takribani 40 na hali katika vituo hivyo ni shwari na wananchi wameitika wito.

Aidha amebainisha Changamoto ambazo zimejitokeza kuwa ni baadhi ya wapiga kura wamekata tamaa ya kushiriki zoezi hilo baada ya kutafuta Majina yao na kuyakosa katika vituo ambavyo walitarajia kupigia kura.

pale ni mwendo wa sugu tu hana chake,ahakikishe ana dawa zake za BP mfukoni
 
Biashara zitakua? Hata sasa kama upo serious biashara yako itakua tu ila kama mvivu utaishia hapo hapo.
Nakukumbusha tu kuwa vinja bei toka 2017 hadi sasa kafungua mafuka 11 mikoa tofauti.
Mimi nina mafanikio mazuri tu, sema ninaweza fanikiwa zaidi kama restriction za kishenzi zisingekuwepo. Jiongelee wewe
 
Back
Top Bottom