Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson: Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson: Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia

Mume wake amekula hasara, kuwa na mke kama huyu ni sawa na kuwa na msukule chumbani.

Na kuna kile kibosi chake kule bungeni, kijamaa kifupi fupi hivi, kimejaa kama "KIPIPA" na tumbo kama sanduku la sadaka.
Ww utakuwa Sugu au kamanda wake! 😂😂😂😂Dah siyo kwa chuki hizi!
 
Haya sasa Sugu atafute suruali pana over size arudi kwenye mziki wa kufokafoka.
 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi amesema kuwa ana uhakika Chama cha Mapinduzi kitaibuka kidedea katika Jimbo la Mbeya Mjini.

Tulia amesema hayo alipojitokeza kupiga kura, ambapo amesema kuwa amezunguka katika vituo takribani 40 na hali katika vituo hivyo ni shwari na wananchi wameitika wito.

Aidha amebainisha Changamoto ambazo zimejitokeza kuwa ni baadhi ya wapiga kura wamekata tamaa ya kushiriki zoezi hilo baada ya kutafuta Majina yao na kuyakosa katika vituo ambavyo walitarajia kupigia kura.

Atulie tu kama jina lake linavyotaka
 
Ila mwitikio ukiwa upande wa Chadema, nikigezo cha kushinda,😀

Hapa hatuzungumzii muitikio wa kwenye kampeni na Mikutano ya Siasa,tuna zungumzia mwitikio wa Watu kwenda kupiga kura Mkuu.
 
Heya maneno ya Tulia ni CODE inayowaashiria Tume kuwa hali yake ni Mbaya kwa hiyo yale Maboksi yaliyoandaliwa na Tume sasa ndio wakati wake wa kusogezwa
 
Jambo ambalo limenipa faraja ni kwamba mapema kabisa nilishamnyonyoa kanga manyoya, sasa ninawapa tahadhari atakayeiba kura atazitolea kwenye yale matundu manne....
 
Hata Shitambala hakuamini 2015 kama wewe hivyo hivyo , lakini leo anagombea udiwani
 
Watanzania wasioelewa Mambo tu na wenye maslai ndo wanachagua CCM mtu anayejitambua hawezi chagua CCM kwa sasa
Tutaona unenecho na nisemacho mimi nani yuko sahihi?
Ni pale utakapoyakataa matokeo wakati yanatangazwa maana umejiaminisha kitu kisichowezekana.

Acha tusubiri na tuone ndugu ila ukweli utabaki pale pale wengi wa wapiga kura niwa CCM.
 
Utopolo
Queen Sindiga mwangalieni vizuri,; huyu ni kiongozi ajaye.Ingawa sijampigia kura,lakini dhamiri yangu inaniambia angeligombea chama kikubwa,angetoa ushindani mkubwa.Muda mfupi uliopita amesema amejiandaa kupokea majibu yoyote kwa sababu anatakiwa Rais mmoja tu.Tulia anasemaje????

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Tutaona unenecho na nisemacho mimi nani yuko sahihi?
Ni pale utakapoyakataa matokeo wakati yanatangazwa maana umejiaminisha kitu kisichowezekana.

Acha tusubiri na tuone ndugu ila ukweli utabaki pale pale wengi wa wapiga kura niwa CC

Mara nyingi CCM huwa hawatumii mitandao kuonyesha nini wamefanya maana walitunzwa na wakatinzika.

Subirini muda wa majumuosho mjionee ila jitahidini tu kuwa wavumilivu.
Mkuu elewa namaanisha wazee wengi hasa maana wengne muda huu wote wanajua kuchagua ni CCM tu bila kujua kwa sababu zipi wamechagua hao ndo wanaongeza kura CCM lakin mtu angalau amepata elimu na kupambanua mambo ndo anaweza kupima wagombea na kumchagua yupi
 
Mimi nimekupigia kura Tulia mapema hapa nilipo nasubiri kushangilia ushindi wako
 
Back
Top Bottom