Ukimchagua mbeligiji anaweza kukuletea maendeleo nyumbani kwakoAnayechagua CCM asilaumu umaskini, awe tayari kuvumilia miaka mitano nyingine ya huyu dikteta, na mark my words mkimpa mitano ikiisha katiba inabadilishwa atataka mitano mingine, hakuna mtu wa kumreplace ccm nzima.
Mjinga wewe, onesha huo msukule wako tuone Kati Tulia na huo msukule wako Nani mama Bora.Mume wake amekula hasara, kuwa na mke kama huyu ni sawa na kuwa na msukule chumbani.
Anayechagua CCM asilaumu umaskini, awe tayari kuvumilia miaka mitano nyingine ya huyu dikteta, na mark my words mkimpa mitano ikiisha katiba inabadilishwa atataka mitano mingine, hakuna mtu wa kumreplace ccm nzima.
Watanzania wasioelewa Mambo tu na wenye maslai ndo wanachagua CCM mtu anayejitambua hawezi chagua CCM kwa sasaCCM ndio Chama Kitakachoongoza kwa kujisombea kura za kutosha katika Uchaguzi wa mwaka huu utake au usitake lakini huu ndio ukweli ulivyo maana Watanzania wengi bado tuna Imani na CHAMA achilia mbali wachache wenye maslahi yao binafsi.
Una namba yake mkuu?Mimi niko tayari awe mke wangu kama akikubali. Ila mpunga sina niwe wazi kabisa.Hajaolewa
Wakifanya wanachosema watakifanya biashara zitakua, ccm wameshindwa miaka 59 toka uhuru, ni muda wa kujaribu alternative. Elimu bado Tanzania imejaa vilaza, uchaguzi bado mitandao inazimwa, watu ambao biashara zetu tunafanya online tulale? Siku moja hii kuzima internet inatucost wengine milioni. Huu ushenzi ukiisha umaskini unapunguaUkichagua upinzani unakuwa tajiri?
Wakifanya wanachosema watakifanya biashara zitakua, ccm wameshindwa miaka 59 toka uhuru, ni muda wa kujaribu alternative. Elimu bado Tanzania imejaa vilaza, uchaguzi bado mitandao inazimwa, watu ambao biashara zetu tunafanya online tulale? Siku moja hii kuzima internet inatucost wengine milioni. Huu ushenzi ukiisha umaskini unapungua
Ila mwitikio ukiwa upande wa Chadema, nikigezo cha kushinda,😀Dkt.Tulia Ackson: "Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia"
Endelea kutarajia Mama Sababu Kura ni Siri ya Mtu lolote linaweza kutokea ,muitikio wa Watu sio kigezo cha CCM tu kushinda ...
Ana roho ngumu huyu !! Yaani anatarajia kushinda yeye na Magufuli mbeya mjini !!!! ????Ajiandae kisaikolojia tu !
Bora kuwa maskini tukiwa na amani kuliko utajiri wa mashaka na kuoana midume
Kwani kuna njemba imeshaleta posa kwako mpaka unaogopa hivo?.Bora kuwa maskini tukiwa na amani kuliko utajiri wa mashaka na kuoana midume
Namshukuru mungu nimetoka tayari kumuondoa magufuli.viva LISU Rais wa awamu ya sitaAnayechagua CCM asilaumu umaskini, awe tayari kuvumilia miaka mitano nyingine ya huyu dikteta, na mark my words mkimpa mitano ikiisha katiba inabadilishwa atataka mitano mingine, hakuna mtu wa kumreplace CCM nzima.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi amesema kuwa ana uhakika Chama cha Mapinduzi kitaibuka kidedea katika Jimbo la Mbeya Mjini.
Tulia amesema hayo alipojitokeza kupiga kura, ambapo amesema kuwa amezunguka katika vituo takribani 40 na hali katika vituo hivyo ni shwari na wananchi wameitika wito.
Aidha amebainisha Changamoto ambazo zimejitokeza kuwa ni baadhi ya wapiga kura wamekata tamaa ya kushiriki zoezi hilo baada ya kutafuta Majina yao na kuyakosa katika vituo ambavyo walitarajia kupigia kura.
pale ni mwendo wa sugu tu hana chake,ahakikishe ana dawa zake za BP mfukoniMgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi amesema kuwa ana uhakika Chama cha Mapinduzi kitaibuka kidedea katika Jimbo la Mbeya Mjini.
Tulia amesema hayo alipojitokeza kupiga kura, ambapo amesema kuwa amezunguka katika vituo takribani 40 na hali katika vituo hivyo ni shwari na wananchi wameitika wito.
Aidha amebainisha Changamoto ambazo zimejitokeza kuwa ni baadhi ya wapiga kura wamekata tamaa ya kushiriki zoezi hilo baada ya kutafuta Majina yao na kuyakosa katika vituo ambavyo walitarajia kupigia kura.
Mimi nina mafanikio mazuri tu, sema ninaweza fanikiwa zaidi kama restriction za kishenzi zisingekuwepo. Jiongelee weweBiashara zitakua? Hata sasa kama upo serious biashara yako itakua tu ila kama mvivu utaishia hapo hapo.
Nakukumbusha tu kuwa vinja bei toka 2017 hadi sasa kafungua mafuka 11 mikoa tofauti.
Anaendelea kupiha kampeni kistyle.Mbeya inarudi CCM.