Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson: Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia

Mume wake amekula hasara, kuwa na mke kama huyu ni sawa na kuwa na msukule chumbani.

Na kuna kile kibosi chake kule bungeni, kijamaa kifupi fupi hivi, kimejaa kama "KIPIPA" na tumbo kama sanduku la sadaka.
Ww utakuwa Sugu au kamanda wake! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Dah siyo kwa chuki hizi!
 
Haya sasa Sugu atafute suruali pana over size arudi kwenye mziki wa kufokafoka.
 
Atulie tu kama jina lake linavyotaka
 
Ila mwitikio ukiwa upande wa Chadema, nikigezo cha kushinda,πŸ˜€

Hapa hatuzungumzii muitikio wa kwenye kampeni na Mikutano ya Siasa,tuna zungumzia mwitikio wa Watu kwenda kupiga kura Mkuu.
 
Heya maneno ya Tulia ni CODE inayowaashiria Tume kuwa hali yake ni Mbaya kwa hiyo yale Maboksi yaliyoandaliwa na Tume sasa ndio wakati wake wa kusogezwa
 
Jambo ambalo limenipa faraja ni kwamba mapema kabisa nilishamnyonyoa kanga manyoya, sasa ninawapa tahadhari atakayeiba kura atazitolea kwenye yale matundu manne....
 
Hata Shitambala hakuamini 2015 kama wewe hivyo hivyo , lakini leo anagombea udiwani
 
Watanzania wasioelewa Mambo tu na wenye maslai ndo wanachagua CCM mtu anayejitambua hawezi chagua CCM kwa sasa
Tutaona unenecho na nisemacho mimi nani yuko sahihi?
Ni pale utakapoyakataa matokeo wakati yanatangazwa maana umejiaminisha kitu kisichowezekana.

Acha tusubiri na tuone ndugu ila ukweli utabaki pale pale wengi wa wapiga kura niwa CCM.
 
Utopolo
 
Tutaona unenecho na nisemacho mimi nani yuko sahihi?
Ni pale utakapoyakataa matokeo wakati yanatangazwa maana umejiaminisha kitu kisichowezekana.

Acha tusubiri na tuone ndugu ila ukweli utabaki pale pale wengi wa wapiga kura niwa CC

Mara nyingi CCM huwa hawatumii mitandao kuonyesha nini wamefanya maana walitunzwa na wakatinzika.

Subirini muda wa majumuosho mjionee ila jitahidini tu kuwa wavumilivu.
Mkuu elewa namaanisha wazee wengi hasa maana wengne muda huu wote wanajua kuchagua ni CCM tu bila kujua kwa sababu zipi wamechagua hao ndo wanaongeza kura CCM lakin mtu angalau amepata elimu na kupambanua mambo ndo anaweza kupima wagombea na kumchagua yupi
 
Mimi nimekupigia kura Tulia mapema hapa nilipo nasubiri kushangilia ushindi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…