Dkt. Tulia Ackson umetuinua Waafrika na kuwaonyesha watu wa mabara mengine kuwa Mtanzania si wa kumchezea

Anainua waafrica wenzie huku kwao kunaungua?

Huyo dada alikataa watu kujadili matukio ya utekaji huku watu wakizidi kutekwa na kuuwawa na Samia akiongezea kwa kumpa kichwa eti ni "vijidrama" .

Leo ni siku ya 37 uchunguzi wa kifo cha mzee Kibao hauna majibu.

Siku ya 60 tangu Deusdedith Soka alipoitwa kituo cha polisi na hadi leo hajulikani alipo.

Hafai kuwa mfano bora wa kiongozi.

Charity begins at home.
 
Mkuu kizazi kilichopo ni kile kinachomjua Mbowe tu kama baba yao!!!
 
Anainua waafrica wenzie huku kwao kunaungua!

Huyo dada alikataa watu kujadili matukio ya utekaji huku watu wakizidi kutekwa na kuuwawa.

Hafai kuwa mfano bora wa kiongozi.

Charity begins at home.
View attachment 3128674
Ulimuuliza kwanini alikataa mjadala usiendelee bungeni?. Kuna kanuni na miongozo inayoongoza shughuli za bunge sio kiongozi kupelekeshwa kwa hisia tu za huruma.
 
Sema amewainua wajinga, punguani na machawa wa Tanzania.

Lakini wenye akili wote wanajua aliidhalilisha nafsi yake mwenyewe, maana hayupo huko kumwakilisha mtanzania yeyote.

Kwa mtu mwenye akili, ukiulizwa swali unatakiwa ujibu kwaa ufasaha na hekima, siyo kufoka au kwa hasira.

Tulia, katika kujibu kwake swali aliloulizwa, alionesha namna alivyokosa busara na hekima. Kwake, kuulizwa swali, anaona kuwa ni ugomvi. Amezoea ujinga wa kiCCM, ambao mtu akihoji au kukosoa, anakuwa adui anayestahili kutekwa na kuuawa.

Kwa jinsi alivyoshindwa kutumia hekima, wabunge wa bunge hilo, wakiona ni vema, kwa kupitia taratibu zao, wamwondoe Tulia kwenye hiyo nafasi. Yeye amezoea kuongoza Bunge bandia, la asante Samia. Hakuna maswali, hakuna kukosoa wala kuwajibishana. Huko ambako watu wana uhuru wa kufikiri, kuhoji, na kukosoa, Tulia hawezi kuwafaa.
 
Actually,
Powerful IPU president Dr Tulia Akson amekonga nyoyo za mataifa mengi sana duniani. Apongezwa kwa ujasiri na ushupavu wake katika kuiongoza IPU na mijadala mbali mbali 🐒
 
Swali lilijibiwa ipasavyo na kijembe juu-tuheshimiane bana!
Wajinga na punguani wanaamini nafasi ya uongozi inakupa nafasi ya kurusha vijembe. Ni kiongozi taahiri anayeweza kuona vijembe vinamwongezea heshima.

Lile siyo bunge bandia la CCM. Tulia amewaabisha waafrika wote, na kudhihirisha maneno ya Trump, "Africa needs to be recolonized".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…