pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kasonge ugali ule acha ulimbukeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa ni mjinga sn, alichaguliwa na bunge la kutoka Africa na ilikuwa ni zamu ya Africa kutoa huyo Rais sijui wa upuuzi gani? nafasi ingekuwa na maslahi unadhani wazungu wangeichia? Rais wa world bank hawezi kutoka Africa, tangu amekuwa hapo IPU sijui ameisaidia nini nchi?Wajumbe 1500 waliomo mle ndani asilimia kubwa ndio walimpigia kura ya kuwa spika wa IPU, ni nafasi kubwa sana tatizo letu wabongo ni negativities za kipuuzi.
Wanapotea na kuuliwa maelfu ya watu lakini kwa sababu hawana uhusiano na siasa hakuna anayeandamana wala kupiga kelele.Waliokuwemo kwanini hawakuuliza na wote ni chama kimoja?
Kwanini wanaopotea ni wa upande mmoja pia na sio upande wa chama cha Tulia?
Ni hadi nani apotee ndio mjadala wa utekaji uruhusiwe?
Wapuuzi tu, wanajipa machungu kwa kuishi na hasira kisa masuala ya kisiasa kutokwenda upande wao.Huyo na wazungu ni kama chupi na kalio ...Ndoto zake akaishi Marekani ndio ndugu zake .
Mjinga ni wewe unayetanguliza chuki kwenye kila mada.We utakuwa ni mjinga sn, alichaguliwa na bunge la kutoka Africa na ilikuwa ni zamu ya Africa kutoa huyo Rais sijui wa upuuzi gani? nafasi ingekuwa na maslahi unadhani wazungu wangeichia? Rais wa world bank hawezi kutoka Africa, tangu amekuwa hapo IPU sijui ameisaidia nini nchi?
Sawa. Hebu tueleze; alipata wapi mandate ya kwenda Russia?Swali halikuwa moja. English ni tatizo kwako?
Maswali yote yamejibiwa ipasavyo.
Angenyenyekea tu, wangemchukulia poa na kwendelea kuuliza maswali ya kijinga.Ameleta aibu ya taifa
Je ni haki hao maelfu kupotea na kufa bila sababu na uchunguzi wa kupotea na kuuwawa?Wanapotea na kuuliwa maelfu ya watu
Kwahiyo kumbe mtu akiwa na "uhusiano na siasa" anatakiwa kupotezwa na kuuwawa?lakini kwa sababu hawana uhusiano na siasa hakuna anayeandamana wala kupiga kelele.
Hakika wenye akili tumedhalilika sana!!Hiyo tulia katudhalilisha sana watanzania tunaojitambua.
Kupotezwa au kuuwawa ni sehemu ya maisha, ipo dunia nzima hiyo hali. USA wanapotea na kuokotwa wakiwa wamefariki mamia kwa mamia ya watu na kila siku.Je ni haki hao maelfu kupotea na kufa bila sababu na uchunguzi wa kupotea na kuuwawa?
Nani anahusika na kupoteza na kuua hao watu?
Kama nchi , inapata faida gani maefu ya watu wanavyopotea na kufa na hakuna taarifa wala hatua yoyote kuchukuliwa?
Kwahiyo kumbe mtu akiwa na "uhusiano na siasa" anatakiwa kupotezwa na kuuwawa?
Hiyo ipo kikatiba au umejitungia ?
Hakuna wa kumpangia kwa kwenda !Sawa. Hebu tueleze; alipata wapi mandate ya kwenda Russia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja waje wakushambulie,tarajia kupoteza furaha yote uliyokuja nayo
Kwahiyo unaungana na Samia aliyetoa kauli ya "kifo ni kifo" kutekwa ni "vijidrama" na hata US watu wanauwawa.Kupotezwa au kuuwawa ni sehemu ya maisha, ipo dunia nzima hiyo hali. USA wanapotea na kuokotwa wakiwa wamefariki mamia kwa mamia ya watu na kila siku.
Kuwa na kesi nyingi ndio kigezo cha kutowafuatilia watekaji/wauaji na kuwachukulia stahiki?Polisi wao wana kesi nyingi zilizo hai bado wakitafuta chanzo haswa cha mauaji ni kipi
Kama sio kila mauaji lawama zipelekwe kwa serikali je tupeleke lawama kwa nani?, sio kila mauaji lawama zipelekwe kwa serikali kuna mahusiano binafsi ya mtu aliyeuliwa na jamaa zake mbalimbali
Kwanini watu wawe na uoga kama amani na usalama juu yao upo?Tupunguze uoga maisha ni haya haya mafupi.
Mwenzio zamani kabla sijaenda ng’ambo nilikuwa najivunia sana utanzania kama wewe. Ila baadaye hata kujiita mtu wa hiyo nchi nikafuta. Ukijiita mtu wa nchi hiyo hata dili hupati.Nikifikiri kizazi cha watanzania wenye jeuri ya nchi yao kiliishia na Mwalimu Nyerere.
Wakati wa Mwalimu, hakuna mwanasiasa wa nje ambaye alikuwa hajitayarishi vilivyo kuongea na mwanadiplomasia wa Tanzania.
Wanadiplomasia wabobevu kama Mzee Mahiga kizazi hicho kilicho pikwa na Mwalimu kimepotea kabisa.
Dr Tulia karudisha heshima ya kujibu hoja kibabe na kujiamini akiwa anajibu ana kwa ana.
Hii ndiyo jeuri ya mtanzia iliyopotea miaka mingi.
Akiwajibu wale wazungu waliohoji kapata wapi kibali cha kuongea na Putin wa Urusi, kimsingi Dr Tulia kawaambia tuheshimiane, hunipangii pa kwenda alimradi nilitaka kuja kwako hukunikaribisha-tuheshimiane!!
Mzungu akalewa za uso!
Pia soma: Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Wakati wa JPM miili iliokotwa coco beach tukasema alikuwa muuaji, leo watu wanatekwa na kuuliwa kila mahali.Kwahiyo unaungana na Samia aliyetoa kauli ya "kifo ni kifo" kutekwa ni "vijidrama" na hata US watu wanauwawa.
Umewahi kujua mauaji asilimia kubwa US ni kutokana na nini au ulibeba maneno ya Samia?
Au Samia ndio alidanganywa kwa mwaka vifo vingi hutokea kwa utekaji US?
Kuwa na kesi nyingi ndio kigezo cha kutowafuatilia watekaji/wauaji na kuwachukulia stahiki?
Yule binti aliyebakwa alisikika anaambiw na kumuomba msamaha afande, je huyo afande ni nani?
Polisi walikamata wabakaji 4 kati ya 6 , wawili hatujaambiwa wako wapi na huyo afande ni wa 7 mbona hatujaambiwa ni nani?
Kama sio kila mauaji lawama zipelekwe kwa serikali je tupeleke lawama kwa nani?
Chombo chenye jukumu kulinda raia na mali zao ni cha serikali ambacho ni polisi , kama hutaki walaumiwe je nani apewe lawama kwa kushindwa kufanya kazi zake?
Mtu anaweza kusafirishwa kutoka Arusha hadi Katavi na gari kwenye vizuizi vya polisi kila mkoa na akapigwa risasi na kutelekezwa mbuga ya Katavi ambayo ili uingie bado kuna vizuizi vya polisi na askari wa mamlaka ya uhifadhi?
Kwanini watu wawe na uoga kama amani na usalama juu yao upo?
Kwani muuaji anakuwa mmoja?Wakati wa JPM miili iliokotwa coco beach tukasema alikuwa muuaji, leo watu wanatekwa na kuuliwa kila mahali.
Hii hulka kwanini inahusu upande mmoja katika vyama vya siasa?Ni hulka za kibinadamu kufanyiana unyama, ukubali au ukatae.
Mpaka maiti za watu mnataka zitambulishwe kwa vyama?. Inamsaidia nini marehemu na familia yake?.Kwani muuaji anakuwa mmoja?
Iddi Amin aliuwa waliompiga sasa hayupo , Uganda yupo dikteta mwingine Museveni anaua pia wanaompinga.
Usitafute justification eti kwakuwa miili iliokotwa ufukweni akiwa rais Magufuli baada ya kufa mauaji yameendelea unataka watu waseme hakuna mauaji kisa Magufuli alishakufa?
Hii hulka kwanini inahusu upande mmoja katika vyama vya siasa?
Mbona hatujasikia mwanaccm ametekwa na kuuwawa?
Ukipenda kutawaliwa kiakili kama zuzu huo ni uamuzi wako.Mwenzio zamani kabla sijaenda ng’ambo nilikuwa najivunia sana utanzania kama wewe. Ila baadaye hata kujiita mtu wa hiyo nchi nikafuta. Ukijiita mtu wa nchi hiyo hata dili hupati.
Wewe kalaga baho