Dkt. Tulia Ackson umetuinua Waafrika na kuwaonyesha watu wa mabara mengine kuwa Mtanzania si wa kumchezea

Sio kweli, hizo organizations zimejaa wazungu wengi tu. Hao wawakilishi wa Lithuania, Ukraine na Russia wanawakilisha mataifa hayo makubwa na wamo humo.

Magufuli alikuwa mwepesi sana kwenye masuala ya kidiplomasia, alitanguliza ujivuni katika mahusiano na mataifa makubwa pengine ikiwa ni kinga ya kutojihusisha nao kwenye masuala mengi, na wakati huo huo tukaendelea kutengwa na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali.
 
Ukiongelea mataifa yaliyoendelea usitaje Russia au Ukraine, ukiona wazungu kwenye hizo organization wengi ni recent graduates waliojitolea na CIA😂😩
 
Yule jamaa alisema hiyo ilikuwa Kingereza kitupu,wewe unafikiri kwanini asingesema ratiba iliingiliana siku ile tulipanga kwenda Ukraine wenyeji wetu walikuwa New York ikabidi tuende Moscow.Fulstop
90% hata alichosema Tulia hawakumelewa, wakaanza kuangaliana wengine wakaanza kuulizana “ kasema nini?” (What she said?). Wakapata jibu. Waliompigia kura safari hii watafanya googling (google).
 
Ukiongelea mataifa yaliyoendelea usitaje Russia au Ukraine, ukiona wazungu kwenye hizo organization wengi ni recent graduates waliojitolea na CIA😂😩
Russia asingekuwa nchi tajiri viongozi wa kiafrika wasingejikusanya wakaenda kwa Putin kutangaza njaa.
 
Afrika imezizima Cairo mpaka Cape Town tunabubujikwa na machozi ya furaha kwa kuinuliwa. Sasa dunia inatuheshimu
 
Parliamentary AffairsPolitics

Deputy Speaker of Nigerian House of Representatives Backs Tanzania’s Dr. Tulia Ackson for IPU Presidency African Institutions Support Group Writer July 23, 2023
Ni mabeberu tu na CHADEMA ndio hawamsapoti Dr Tulia
 


Haha lazima utafute angle ya kusifia Tu

Sasa pale kajibu kibabe?

Ile tone si hata Dodoma anaitumia au Kwa vile kaongea Kwa kizungu

Katoa maelezo marahisi kabisa
 
Haha lazima utafute angle ya kusifia Tu

Sasa pale kajibu kibabe?

Ile tone si hata Dodoma anaitumia au Kwa vile kaongea Kwa kizungu

Katoa maelezo marahisi kabisa
Wazee wansojielewa na wazalendo huko Tabora, wamempogeza Dr Tulia kwa kusapa wazungu vidonge vyao.
ITV saa mbili.
 
Unachokisema ni sawa na mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe. Unakumbuka wimbo unaosema "mazoea eh, yana tabu..." Intelligent/smart/critical thinkers wanachotaka ni reasoning yako and your art of persuasion. Kufoka ni kuonyesha tu kwamba bado kabisa unavutwa na mazoea (mambo uliyozoea kufanya), na ndivyo nilivyoona mimi. Alitakiwa tu ajenge hoja akiwa sober, lakini alionyesha ali'panic' na kuongea kwa ukali as if anawafokea watoto. Katika muktadha huo kumpa credit ni kutojitendea haki mwenyewe na kutomtendea yeye haki pia kwa sababu unamweka mahali ambapo hastahili kuwa.
 
chama cha mapinduzi ni shule mujarabu ya kuwapika viongozi uliza mtu yoyote afrika
 
Kwa majibu yale au mihemukk ile sidhani kama anaweza kufikiriwa kwa post za kimataifa huko mbeleni na hilo bunge kwake ulikuwa ni mtaji wa mashirika ya kimataifa lkn kwa yale anayeweza kumpa nafasi nyingine ya kimataifa atakuwa ana matatizo makubwa..NI AIBU
 
Afrika imezizima Cairo mpaka Cape Town tunabubujikwa na machozi ya furaha kwa kuinuliwa. Sasa dunia inatuheshimu
Dunia gani hiyo inayokuheshimu? Ku',panic' nako kunamfanya mtu aheshimiwe kweli au kuonewa huruma?
 
Hahaha! Sawa bwana, jitekenye na kucheka mwenyewe.
Mbona una akili finyu, wazee wa Tabora wenye uzalendo mkubwa kwani walikuwepo IPU Geneva?
Wamepima upepo na kuelewa kuwa huko alikokuwa Dr Tulia kafanya lile limpasavyo kufanya kwa uzalendo, kana mtanzania.
Ninyi mnaotweta kwa kuogopa kufutiwa misaada ya condom na ARV mtabaki kuwa na fikra za kimasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…