Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Viwete walitembea , viziwi wakasikia, bubu walishangilia na kuongea!Baada ya kupokelewa hivyo kuna shida zilizotatuliwa...??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwete walitembea , viziwi wakasikia, bubu walishangilia na kuongea!Baada ya kupokelewa hivyo kuna shida zilizotatuliwa...??
Kumbe ungewataka wanaotaka kupoteza muda na fedha wajitokeza kuchukua fomu waipate live.Ndugu zangu watanzania,
Haijapata kutokea ,haijapata kuonekana kwa mapokezi makubwa aliyoyapata mh Dkt Tulia Acksoni Mwansasu mbunge wa Mbeya mjini,speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani.ni mapokezi ya kishindo,ni mapokezi ya karne,ni mapokezi ya kihistoria ni mapokezi yaliyovunja rekodi,ni mapokezi yaliyoitetemesha na kulisimamisha Jiji la mbeya.watu wamehudhuria haijapata kutokea,mafuriko ya watu wamemiminika haijapata kuonekana.
Kwa hakika Dr Tulia ni mpango wa Mungu mwenyewe,anapendwa na kuheshimika na wanambeya ni haijapata kutokea ,anakubalika na kuungwa mkono ni haijapata kushuhudiwa ,itachukuwa miaka mingi sana kwa kiongozi yeyote yule kupata mapokezi aliyoyapata leo hii Dr Tulia.mtoto wa Mbeya kapokelewa kishujaa Mithili ya wanajeshi waliotoka vitani na kurejea na ushindi wa kukomboa ardhi ya nchi na Taifa lao iliyokuwa imeporwa.
Kapokelewa na watu wa rika zote na makundi yote kuanzia viongozi wa dini, serikali,mila,vijana,akina mama,wazee n.k.kishindo chake kimeteka jiji la Mbeya, kwa hakika ujio wake tokea angani aliko kuwa akiingia na ndege ya jeshi kumefanya jiji lote kulipuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo ambayo haijawahi kutokea.
Rai yangu kwa upinzani na mtu yeyote yule asithubutu kuchukua Fomu ya ubunge kugombea ubunge jimbo la Mbeya mjini maana kwa hali iliyopo kwa sasa na kwa namna Dr Tulia anavyopendwa na kukubalika kwa hakika itakuwa ni kupoteza muda na fedha kushindana na Rais wa IPU Dr Tulia Acksoni mwansasu katika sanduku la kura.
Dr Tulia siyo mtu wa kawaida ,ana nguvu fulani ndani yake isiyo ya kawaida na ya ajabu sana yenye kuonyesha uwepo wa Mungu ndani yake hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Dr Tulia ni mcha Mungu mkubwa na mwenye kumtegemea na kumtumainia Mungu kwa kila jambo.upepo wa Dr Tulia ni mkali na wenye mvumo wa kipekee sana,ni mtu mwenye ushawishi wa hali ya juu sana. Kwa hakika kaiteka mioyo ya wana Mbeya na kutembea mioyoni mwao.
Ni faraja kwa wana Mbeya ,ni fahari kwa wana nyanda za juu kusini na ni Nembo kwa wana mbeya. ameuheshimisha mkoa ,amelipa hadhi jiji,amewafanya wana Mbeya watembee kifua mbele na kwa kujiamini .na kila mtu anaona anastahili kuringa na kujivunia Dr Tulia kwa kuwa ni Mbeya ndio iliyompeleka Bungeni Dr Tulia na ni Mbeya ndio iliyotoa Rais wa umoja wa mabunge Duniani kati ya nchi zaidi ya 180 wanachama wa IPU Duniani kwote.
ndio maana wana Mbeya wamefanya mapokezi ya kishindo na ya heshima kubwa sana kumpatia mtoto wao na dada yao na mbunge wao Dr Tulia Acksoni mwansasu kwa ushindi na heshima ya kipekee aliyolipatia jiji la Mbeya.kila mmoja anajiona kuwa kupitia kura yake ya ndio kwa Dr Tulia Taifa limepata heshima ya kutoa Rais wa IPU na mwanamke wa kwanza kutoka Barani Afrika kushinda na kushika urais wa IPU.
Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mjane huyo anatafuta mumeNo.za simu unaweka za nini? Kama hautojali nijibu
No.za simu unaweka za nini?
Wana Mbeya kwa umoja wao wamemkabidhi Dr Tulia jiji lao Katika uchaguzi ujao .maana ndani ya muda mfupi wa uongozi wake amefanikiwa kuleta maendeleo makubwa sana katika jiji la Mbeya tofauti na yule mbabaishaji aliyekuwepo awali ambaye alikuwa hajitambui wala kutambua majukumu yake mpaka wana Mbeya walipo amua kumfurusha kama Kibaka .sasa jiji la Mbeya chini ya ubunge wa Dr Tulia na kusikizwa kwake na serikali yake, Mbeya inakwenda kutandikwa barabara ya lami ya njia nne km 237.9 kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe.Kumbe ungewataka wanaotaka kupoteza muda na fedha wajitokeza kuchukua fomu waipate live.
Nakuona mrs mibangi ukiwa umejifukiza tayari mibangi yako kichwani kama mwendawazimu 😄😄😄Mjane huyo anatafuta mume
Utatuzi wa Kero na changamoto jijini Mbeya umekuwa ni utaratibu wa kila siku tangia Dr Tulia alipochaguliwa kuwa mbunge wa Mbeya mjini.ndio Maana wana Mbeya wanaendelea kumuunga mkono mh Dkt Tulia kila siku na kumpa ushirikiano wa kutosha.
Utoto mwingi sana nchi hii , ila sio mda kunakucha, na kila mtu atalipwa kwa kadri ya stahili yakeNdugu zangu watanzania,
Haijapata kutokea ,haijapata kuonekana kwa mapokezi makubwa aliyoyapata mh Dkt Tulia Acksoni Mwansasu mbunge wa Mbeya mjini,speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani.ni mapokezi ya kishindo,ni mapokezi ya karne,ni mapokezi ya kihistoria ni mapokezi yaliyovunja rekodi,ni mapokezi yaliyoitetemesha na kulisimamisha Jiji la mbeya.watu wamehudhuria haijapata kutokea,mafuriko ya watu wamemiminika haijapata kuonekana.
Kwa hakika Dr Tulia ni mpango wa Mungu mwenyewe,anapendwa na kuheshimika na wanambeya ni haijapata kutokea ,anakubalika na kuungwa mkono ni haijapata kushuhudiwa ,itachukuwa miaka mingi sana kwa kiongozi yeyote yule kupata mapokezi aliyoyapata leo hii Dr Tulia.mtoto wa Mbeya kapokelewa kishujaa Mithili ya wanajeshi waliotoka vitani na kurejea na ushindi wa kukomboa ardhi ya nchi na Taifa lao iliyokuwa imeporwa.
Kapokelewa na watu wa rika zote na makundi yote kuanzia viongozi wa dini, serikali,mila,vijana,akina mama,wazee n.k.kishindo chake kimeteka jiji la Mbeya, kwa hakika ujio wake tokea angani aliko kuwa akiingia na ndege ya jeshi kumefanya jiji lote kulipuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo ambayo haijawahi kutokea.
Rai yangu kwa upinzani na mtu yeyote yule asithubutu kuchukua Fomu ya ubunge kugombea ubunge jimbo la Mbeya mjini maana kwa hali iliyopo kwa sasa na kwa namna Dr Tulia anavyopendwa na kukubalika kwa hakika itakuwa ni kupoteza muda na fedha kushindana na Rais wa IPU Dr Tulia Acksoni mwansasu katika sanduku la kura.
Dr Tulia siyo mtu wa kawaida ,ana nguvu fulani ndani yake isiyo ya kawaida na ya ajabu sana yenye kuonyesha uwepo wa Mungu ndani yake hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Dr Tulia ni mcha Mungu mkubwa na mwenye kumtegemea na kumtumainia Mungu kwa kila jambo.upepo wa Dr Tulia ni mkali na wenye mvumo wa kipekee sana,ni mtu mwenye ushawishi wa hali ya juu sana. Kwa hakika kaiteka mioyo ya wana Mbeya na kutembea mioyoni mwao.
Ni faraja kwa wana Mbeya ,ni fahari kwa wana nyanda za juu kusini na ni Nembo kwa wana mbeya. ameuheshimisha mkoa ,amelipa hadhi jiji,amewafanya wana Mbeya watembee kifua mbele na kwa kujiamini .na kila mtu anaona anastahili kuringa na kujivunia Dr Tulia kwa kuwa ni Mbeya ndio iliyompeleka Bungeni Dr Tulia na ni Mbeya ndio iliyotoa Rais wa umoja wa mabunge Duniani kati ya nchi zaidi ya 180 wanachama wa IPU Duniani kwote.
ndio maana wana Mbeya wamefanya mapokezi ya kishindo na ya heshima kubwa sana kumpatia mtoto wao na dada yao na mbunge wao Dr Tulia Acksoni mwansasu kwa ushindi na heshima ya kipekee aliyolipatia jiji la Mbeya.kila mmoja anajiona kuwa kupitia kura yake ya ndio kwa Dr Tulia Taifa limepata heshima ya kutoa Rais wa IPU na mwanamke wa kwanza kutoka Barani Afrika kushinda na kushika urais wa IPU.
Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Itakuwa wewe ndio hujuwi Mbeya imetoka wapi kufika hapa ilipo.hivi sugu kwa miaka yake kumi ya ubunge amewahi kufanikisha ujenzi wa barabara za lami njia nne kama ambavyo Dr Tulia amefanikisha suala hilo ambalo linakwenda kuwanufaisha hadi wana Songwe? Kazi ya sugu ilikuwa ni kuzurula tu kama mchunga ng'ombe. Kwa sasa jiji la Mbeya ni maendeleo tu na miradi ya maendeleo tu . Mabilioni kwa mabilioni yanaendelea kutiririka kwenda mkoani Mbeya kutokana na juhudi za mh Dkt Tulia kushirikiana na serikali yake.We Msafwa, sijui Mnyiha inaonekana hujafika Mbeya mjini miaka mingi...
Mbeya ipo vile vile kama alivyoiacha Mbilinyi, hakuna kitu kipya ambacho Tulia kakileta...
Vipi leo umekuja na vitisho vipi maana si unakujaga na vitisho vyako utafikiri wewe ni Mungu. Embu andika vitisho vyako vya leo nivioneUtoto mwingi sana nchi hii , ila sio mda kunakucha, na kila mtu atalipwa kwa kadri ya stahili yake
Tangu uanze kuweka namba hadi leo hujapata mume utakuwa wa kupigwa miti kwa beer tu basi.Nakuona mrs mibangi ukiwa umejifukiza tayari mibangi yako kichwani kama mwendawazimu [emoji1][emoji1][emoji1]
Hapana lucas nimecheki hiyo video, mbona watu sio wengi kama unavyo exaggerate hapa. By the way wengi wamekuja kuishangaa hiyo Airbus A225 LP , kitu ambacho hata mimi ningeenda kuiona.Ndugu zangu watanzania,
Haijapata kutokea ,haijapata kuonekana kwa mapokezi makubwa aliyoyapata mh Dkt Tulia Acksoni Mwansasu mbunge wa Mbeya mjini,speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani.ni mapokezi ya kishindo,ni mapokezi ya karne,ni mapokezi ya kihistoria ni mapokezi yaliyovunja rekodi,ni mapokezi yaliyoitetemesha na kulisimamisha Jiji la mbeya.watu wamehudhuria haijapata kutokea,mafuriko ya watu wamemiminika haijapata kuonekana.
Kwa hakika Dr Tulia ni mpango wa Mungu mwenyewe,anapendwa na kuheshimika na wanambeya ni haijapata kutokea ,anakubalika na kuungwa mkono ni haijapata kushuhudiwa ,itachukuwa miaka mingi sana kwa kiongozi yeyote yule kupata mapokezi aliyoyapata leo hii Dr Tulia.mtoto wa Mbeya kapokelewa kishujaa Mithili ya wanajeshi waliotoka vitani na kurejea na ushindi wa kukomboa ardhi ya nchi na Taifa lao iliyokuwa imeporwa.
Kapokelewa na watu wa rika zote na makundi yote kuanzia viongozi wa dini, serikali,mila,vijana,akina mama,wazee n.k.kishindo chake kimeteka jiji la Mbeya, kwa hakika ujio wake tokea angani aliko kuwa akiingia na ndege ya jeshi kumefanya jiji lote kulipuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo ambayo haijawahi kutokea.
Rai yangu kwa upinzani na mtu yeyote yule asithubutu kuchukua Fomu ya ubunge kugombea ubunge jimbo la Mbeya mjini maana kwa hali iliyopo kwa sasa na kwa namna Dr Tulia anavyopendwa na kukubalika kwa hakika itakuwa ni kupoteza muda na fedha kushindana na Rais wa IPU Dr Tulia Acksoni mwansasu katika sanduku la kura.
Dr Tulia siyo mtu wa kawaida ,ana nguvu fulani ndani yake isiyo ya kawaida na ya ajabu sana yenye kuonyesha uwepo wa Mungu ndani yake hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Dr Tulia ni mcha Mungu mkubwa na mwenye kumtegemea na kumtumainia Mungu kwa kila jambo.upepo wa Dr Tulia ni mkali na wenye mvumo wa kipekee sana,ni mtu mwenye ushawishi wa hali ya juu sana. Kwa hakika kaiteka mioyo ya wana Mbeya na kutembea mioyoni mwao.
Ni faraja kwa wana Mbeya ,ni fahari kwa wana nyanda za juu kusini na ni Nembo kwa wana mbeya. ameuheshimisha mkoa ,amelipa hadhi jiji,amewafanya wana Mbeya watembee kifua mbele na kwa kujiamini .na kila mtu anaona anastahili kuringa na kujivunia Dr Tulia kwa kuwa ni Mbeya ndio iliyompeleka Bungeni Dr Tulia na ni Mbeya ndio iliyotoa Rais wa umoja wa mabunge Duniani kati ya nchi zaidi ya 180 wanachama wa IPU Duniani kwote.
ndio maana wana Mbeya wamefanya mapokezi ya kishindo na ya heshima kubwa sana kumpatia mtoto wao na dada yao na mbunge wao Dr Tulia Acksoni mwansasu kwa ushindi na heshima ya kipekee aliyolipatia jiji la Mbeya.kila mmoja anajiona kuwa kupitia kura yake ya ndio kwa Dr Tulia Taifa limepata heshima ya kutoa Rais wa IPU na mwanamke wa kwanza kutoka Barani Afrika kushinda na kushika urais wa IPU.
Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Itakuwa wewe ndio hujuwi Mbeya imetoka wapi kufika hapa ilipo.hivi sugu kwa miaka yake kumi ya ubunge amewahi kufanikisha ujenzi wa barabara za lami njia nne kama ambavyo Dr Tulia amefanikisha suala hilo ambalo linakwenda kuwanufaisha hadi wana Songwe? Kazi ya sugu ilikuwa ni kuzurula tu kama mchunga ng'ombe. Kwa sasa jiji la Mbeya ni maendeleo tu na miradi ya maendeleo tu . Mabilioni kwa mabilioni yanaendelea kutiririka kwenda mkoani Mbeya kutokana na juhudi za mh Dkt Tulia kushirikiana na serikali yake.
Bro mbona una hasira Kali sana? Ni hilihili tu au kuna jingine!Baada ya kupokelewa hivyo kuna shida zilizotatuliwa...??
Hawa akina mama wajane wakipewa majiko ya bure ya gas akili zinaisha kama huyu mjinga🤣🤣🤣
Upumbavu ni jambo baya sana, unafikia kujitoa ufahamu kiasi hiki. Aibu sana...
Bro mbona una hasira Kali sana? Ni hilihili tu au kuna jingine!
hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumchagua Tulia na roho yake mbaya kama sura yakeHahahah...hizo njia nne ziko wapi hapo mjini?
Barabara ya TanZam ipo hivyo hivyo miaka yote, hapo Mbalizi ni kama mwezi tu umepita tumetoka kuzika ndugu zatu baada ya lori kuparamia mzunguko sababu ya ufinyu wa lami...
Barabara za lami za mitaani alizoziacha Mbilinyi bado ni zile zile na sasa hivi zimeanza kuweka mashimo hakuna wa kukarabati...
We si chawa wa Tulia, hebu mwambie arekebishe lami ya Ilomba kwemda Isyesye ina mahandaki sasa...
Mbona hata Marekani akina Trump na wenzake wanabebwa na kupendwa sana?Mkuu wabongo tunawageuza hawa viongozi kama miungu hivi...