Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

Kumbe ungewataka wanaotaka kupoteza muda na fedha wajitokeza kuchukua fomu waipate live.
 
Kumbe ungewataka wanaotaka kupoteza muda na fedha wajitokeza kuchukua fomu waipate live.
Wana Mbeya kwa umoja wao wamemkabidhi Dr Tulia jiji lao Katika uchaguzi ujao .maana ndani ya muda mfupi wa uongozi wake amefanikiwa kuleta maendeleo makubwa sana katika jiji la Mbeya tofauti na yule mbabaishaji aliyekuwepo awali ambaye alikuwa hajitambui wala kutambua majukumu yake mpaka wana Mbeya walipo amua kumfurusha kama Kibaka .sasa jiji la Mbeya chini ya ubunge wa Dr Tulia na kusikizwa kwake na serikali yake, Mbeya inakwenda kutandikwa barabara ya lami ya njia nne km 237.9 kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe.
 
Utatuzi wa Kero na changamoto jijini Mbeya umekuwa ni utaratibu wa kila siku tangia Dr Tulia alipochaguliwa kuwa mbunge wa Mbeya mjini.ndio Maana wana Mbeya wanaendelea kumuunga mkono mh Dkt Tulia kila siku na kumpa ushirikiano wa kutosha.

We Msafwa, sijui Mnyiha inaonekana hujafika Mbeya mjini miaka mingi...

Mbeya ipo vile vile kama alivyoiacha Mbilinyi, hakuna kitu kipya ambacho Tulia kakileta...
 
Utoto mwingi sana nchi hii , ila sio mda kunakucha, na kila mtu atalipwa kwa kadri ya stahili yake
 
We Msafwa, sijui Mnyiha inaonekana hujafika Mbeya mjini miaka mingi...

Mbeya ipo vile vile kama alivyoiacha Mbilinyi, hakuna kitu kipya ambacho Tulia kakileta...
Itakuwa wewe ndio hujuwi Mbeya imetoka wapi kufika hapa ilipo.hivi sugu kwa miaka yake kumi ya ubunge amewahi kufanikisha ujenzi wa barabara za lami njia nne kama ambavyo Dr Tulia amefanikisha suala hilo ambalo linakwenda kuwanufaisha hadi wana Songwe? Kazi ya sugu ilikuwa ni kuzurula tu kama mchunga ng'ombe. Kwa sasa jiji la Mbeya ni maendeleo tu na miradi ya maendeleo tu . Mabilioni kwa mabilioni yanaendelea kutiririka kwenda mkoani Mbeya kutokana na juhudi za mh Dkt Tulia kushirikiana na serikali yake.
 
Utoto mwingi sana nchi hii , ila sio mda kunakucha, na kila mtu atalipwa kwa kadri ya stahili yake
Vipi leo umekuja na vitisho vipi maana si unakujaga na vitisho vyako utafikiri wewe ni Mungu. Embu andika vitisho vyako vya leo nivione
 
Hapana lucas nimecheki hiyo video, mbona watu sio wengi kama unavyo exaggerate hapa. By the way wengi wamekuja kuishangaa hiyo Airbus A225 LP , kitu ambacho hata mimi ningeenda kuiona.
 

Hahahah...hizo njia nne ziko wapi hapo mjini?

Barabara ya TanZam ipo hivyo hivyo miaka yote, hapo Mbalizi ni kama mwezi tu umepita tumetoka kuzika ndugu zetu baada ya lori kuparamia mzunguko sababu ya ufinyu wa lami...

Barabara za lami za mitaani alizoziacha Mbilinyi bado ni zile zile na sasa hivi zimeanza kuweka mashimo hakuna wa kukarabati...

We si chawa wa Tulia, hebu mwambie arekebishe lami ya Ilomba kwemda Isyesye ina mahandaki sasa...
 
hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumchagua Tulia na roho yake mbaya kama sura yake
 
Walimiminika kushangaa ndege ya kijeshi, km kipindi kile Cha my Lowasa kushangaa helicopta[emoji3][emoji3]
 
Mkuu wabongo tunawageuza hawa viongozi kama miungu hivi...
Mbona hata Marekani akina Trump na wenzake wanabebwa na kupendwa sana?

Usichukulie serious sana braza, relax ndo Dunia ilivyo
 
Hivi huu muda wa kuandika huu upuuzi ungeutumia kutafuta ngawira ungekuwa mbali sana kimaisha.Unafukuzia teuzi lakini wanakuona wewe ni mpumbavu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…