Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

Mimi sitafuti kukumbukwa.kazi yangu ni kuwapeni ukweli na kuwahabarisheni tu juu ya mambo mbalimbali yanayojiri nchini mwetu.

Uzuri mmepewa kazi hiyo, walikuwepo wengi sana nao wameenda. Kutaja wachache ni kama ifuatavyo

jingalao
Lizaboni
Kipara kipya
Mgonjwa mtambuka
Leslie
N.k

Hata wewe utapotea siku maslahi yakibadilika.
 
Uzuri mmepewa kazi hiyo, walikuwepo wengi sana nao wameenda. Kutaja wachache ni kama ifuatavyo

jingalao
Lizaboni
Kipara kipya
Mgonjwa mtambuka
Leslie
N.k

Hata wewe utapotea siku maslahi yakibadilika.
Kwani nani kakwambia kuwa naandika hapa kwa ajili ya kutafuta maslahi?
 
Huna akili wewe utakuwa wa kupigwa miti tu kwani kwa mabandiko yako haya ya kichawa kamwe hutateuliwa. Bwege wewe
 
Comrade hapo Dkt Tulia upepo wake kwa Mbeya hata kitaifa ni mbaya sana. Sasa mwokozi wetu ni CCM ya Dkt Samia chini ya Makonda. Akina Dkt Tulia walijichanganya. Wanahitaji nguvu kazi. Kazi ya Makonda sasa ni nzuri sana.
 
Eeeh kumbe masoja ndio wanavaaga vile au sare mpya zile ?
 
Utatuzi wa Kero na changamoto jijini Mbeya umekuwa ni utaratibu wa kila siku tangia Dr Tulia alipochaguliwa kuwa mbunge wa Mbeya mjini.ndio Maana wana Mbeya wanaendelea kumuunga mkono mh Dkt Tulia kila siku na kumpa ushirikiano wa kutosha.
Alichaguliwa na maken.de yako labda
 
Uongo mtupu, hata barabara ya vumbi njia 4 hauwezi pata kwa miaka hii labda 2065
 
Eeeh kumbe masoja ndio wanavaaga vile au sare mpya zile ?
Uaskari wa mtu haupo katika mavazi bali katika mafunzo na utaalamu au ujuzi .kama huna mafunzo na hujahitimu mafunzo ya kijeshi huwezi ukawa mwanajeshi hata kama utavalishwa kombati za jeshi.
 
Tupia picha basi akishuka na hiyo chopa ya Jeshi.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Comrade hapo Dkt Tulia upepo wake kwa Mbeya hata kitaifa ni mbaya sana. Sasa mwokozi wetu ni CCM ya Dkt Samia chini ya Makonda. Akina Dkt Tulia walijichanganya. Wanahitaji nguvu kazi. Kazi ya Makonda sasa ni nzuri sana.
Dr Tulia hana mpinzani jimboni mbeya.hakuna mwenye ubavu wala uwezo wala nguvu ya kuweza kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura .Dr tulia anakubalika,kuungwa mkono na kupendwa na wana Mbeya ni haijapata kutokea .yeyote atakayechukua Fomu kushindana naye atapata na kuvuna aibu ya karne.maana Dr Tulia ndio chaguo la wana Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…