Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

Mbunge ajae wa mbeya mjini sugu Hana chake ushindi mapema kwa tulia
 
Wapiga Kura walio wengi wanahitaji kuona vitendo sio ngonjera za kisanii, na tena msimchukulie poa huyu dada atamng'oa Yule msanii
 
Mpuuzi mmoja wewe
 
Wee Jamaa Mungu anakuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa wale jamaa wa uvccm ambao huwa wanasoma kichwa cha habari na kukimbilia kutoa maoni hapa utakuwa umewaacha mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…