Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kwa jinsi anavyoutaka ubunge wahuni wanaweza kumla mzigo huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungejua unampa promo, wewe ukijua wamponda...Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.
Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.
Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559
Hadi huruma. Kwanini haridhiki na Jimbo lake la Ikulu?Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.
Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.
Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559
🤣 🤣 🤣 🤣 BetinaAiseee Bonge la Bungalow sio mchezo BETINA Ametisha!!
Ngoja nami niongeze promoUngejua unampa promo, wewe ukijua wamponda...
Halafu kura hapati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1540]Na bado atazibua Hadi vyoo Mwaka huu
Alafu akishinda ubunge mnarukaruka akirudi kushukuru anawaambia maendeleo ni kufanya kazi "fanyeni kazi".....kwa bunge letu bora niwachague kina Musukuma, Kinyimba, Lusinde au Sugu ili hao wasomi wakasaidie kunoa vichwa vya vijana maana hata wakiingia bungeni wanafanya maamuzi kwa kuzingatia maslahi ya vyama vyao na kama hivyo bora tuwapeleke wengine angalau tutasingizia hawana uelewa kuliko kuwa na watu wenye uelewa alafu wanapitisha kila kituSugu aende akasaini msondo ngoma tu,ubunge kwa heri
Dada msomi anatosha
Ndiyo anaitwa Mr Andelile na ni Msomi vile vile.Huyu mwanamke naye hivi an Mme kweli
Tulia atazibua mpaka mitaro, ila ubunge haupati, labda sio mbeya.
Kujenga nyumbaSugu aende akasaini msondo ngoma tu,ubunge kwa heri
Dada msomi anatosha
Maigizo kwa kwenda mbeleChini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.