Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Hapa Uzunguni choo changu kimeziba naomba mnipatie namba zake Mara moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hichi kabetina si kikalee familia sura mbaya [emoji3]Huku kampeini za ubunge hazijaanza rasmi nchini, jijini mbeya mh Sugu anaonekana kumtesa bi Tulia kwa kumfanya awe mtumwa.
Pichani anaonekana Tulia akifanya kazi za ukibarua wa ujenzi wa nyumba ili mradi kujitafutia umaarufu kwa kuwavutia wana mbeya.
Pamoja na hayo yote bado wana mbeya tuna mwambia kuwa hata akubeba zege bado haitatubadilisha msimamo wa mapenzi yetu kwa mh Sugu. View attachment 1487732
Hichi kabetina si kikalee familia sura mbaya [emoji3]
Tunalisubiri BOXChini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.
Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.
Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559
Mafundi ujenzi wote wangekuwa hivyo mbona pasingetosha! Wana Mbeya kazi mnayoChini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.
Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.
Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559
.......Amtoe wapi.....wewe unaweza kuowa hiki kituko? Hakuna mwanaume wa kuowa hiyo shida
Wewe ndiyo unawajua wanasiasa vizuri; ni wanafiki kweli. Kumbukia wimbo huu, nimeutafuta tena baada ya kusoma post yako hiiWakiomba kura wanakuwa humble ,wakirudi bungeni wana roho ya unyama
Wewe ndiyo unawajua wanasiasa vizuri; ni wanafiki kweli. Kumbukia wimbo huu, nimeutafuta tena baada ya kusoma post yako hii
Eti naye alisoma shule ya sekondari Loleza! Gagula.Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.
Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.
Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559
Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.