Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

Aliumbwa akaumbikabanakazi nzuri sana na sio lazima unyanyase kwanini lakini??
 
Kila Mtanzania ni mwanaccm
Wakome watanzania. Wewe si msemaji wao, nyie ndio mnaifanya siasa ionekane ni chuki na fitna za kijinga kabisa. Ameshindwa kuongoza pambio la hamo akaishia kurukaruka kama kifaranga, ataweza kuongoza Jimbo? Wanaccm walishastaafu, wamebaki wachumia tumbo na wanafiki tu. Mmojawapo ni WEWE
 
Naibu spika,mbunge viti maalum,bado unataka jumbo? Halafu mwenzio aishije? Mawazo potofu sana
 
Sugu hapa anakazi anaenda angushwa nahuyu mama...
- kamzidi elimu
- kamzidi kipato
- kamzidi ukubwa wachama
- kamzidi miradi jimboni
- kamzidi cheo bungeni
- kamzidi ukaribu na serikali
- kamzidi ukaribu na tume ya uchaguzi,wasimamizi,polisi,mkurugenzi,DC nk
- kamzidi urefu hahahaaaa
Kiinua mgongo sugu bora awekeze hotelini siasani atapoteza mkwanja vipindi viwili vimtoshe
 
Mkuu G Sam kwa iron hyperbole na sarcasm umetisha🤣🤣🤣🤣
 
Tulia amzidi kipato Sugu ?
 
Sugu anamzidi Tulia wapiga kura mtaiba kura laki mbili dhidi ya 2000 za Tulia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…