Dkt. Tulia anapata wapi kiburi cha kuwaita wananchi waache majungu

Dkt. Tulia anapata wapi kiburi cha kuwaita wananchi waache majungu

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia anasimama mbele ya hadhara na kuwaambia wananchi waliomchangua kuingia bungeni waache majungu sasa tunajiuliza kiburi hiki na ulevi huu wa madaraka anautoa wapi Tulia hadi awaambie wanachi wake waache majungu?

Dah..kwahiyo ni deni!? Yani kisa wamemchagua wafanye lolote watakalo!??
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia anasimama mbele ya hadhara na kuwaambia wananchi waliomchangua kuingia bungeni waache majungu sasa tunajiuliza kiburi hiki na ulevi huu wa madaraka anautoa wapi Tulia hadi awaambie wanachi wake waache majungu?

Suluhisho ni katiba mpya,haiwezekani uweze kumweka madarakani lakini ushindwe kumuondoa,kuna makando kando mengi sana nchi hii kiasi yamelemaza wananchi na kujikuta wameugua ugonjwa wa mshangao usio na majibu
 
Hayo ni mambo ya ndani ya Chama acha wanyukane labda kama na wewe mmoja wao.
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia anasimama mbele ya hadhara na kuwaambia wananchi waliomchangua kuingia bungeni waache majungu ...
Mara nyingi wananchi humchagua mtu anayefanana nao. Kwa vile anajijua alivyo na majungu yaliyoweza kumpatia hata Uspika bila kupingwa, anawajua watu wake kama anavyojijua na wanavyomjua.
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia anasimama mbele ya hadhara na kuwaambia wananchi waliomchangua kuingia bungeni waache majungu sasa tunajiuliza kiburi hiki na ulevi huu wa madaraka anautoa wapi Tulia hadi awaambie wanachi wake waache majungu?

Mojawapo ya wapika majungu utakuwa Ni wewe mtoa mada
 
Back
Top Bottom