Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Mlivyo Wapumbavu eti Jimbo ni "Mali halali" wewe ni mpumbavu Lucas😄😄😄Wewe endelea na biashara yako hapo Desderia. Lakini jimbo la Mbeya mjini ni mali halali ya Dr Tulia uchaguzi ujao.kapewa kibali na wana Mbeya ili aendelee kuwaletea maendeleo
Hii ni laanaWee jamaa waliokuloga ni makatili sana ! Maana wameloga kuanzia nyayo hadi utosi .
Wewe mwache amchurie tu huyo njiti wakeWakati fulani unatakiwa kupunguza njaa na kujipendekeza kulikopitiliza. Halafu siyo jambo la kawaida kwa mwanaume aliyekamilika, kujipendekeza hovyo eti!!
Maana ukiulizwa kama mchakato wa kumtafuta mgombea wa chama kwa hiyo nafasi kama umeshafanyika, au uhakika wa asilimia ngapi kama huyo Tulia wako atakuwepo hiyo 2025! Sidhani kama utakuwa na majibu sahihi.
Sio kahongwa, nimeambiwa kumbe siri ya watu kuweka namba zao ni kukusanya maokoto.Au umehongwa na Spika?
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.Mambo aliyoyafanya Dr Tulia katika jimbo la Mbeya ni makubwa na mengi kuliko aliyoyafanya sugu kwa miaka yake kumi .maana alichokifanya sugu ni kuzurula tu na kuhamasisha vurugu zilizokuwa zinakwamisha maendeleo katika jimbo la Mbeya.Haya masifa yenu ya kuendelea kuhadaa viongozi wenu kisa maokoto yatawatokea puani, kama ambavyo mnamuhadaa mwenyekiti wenu nakuangukia pua, mfano ya Taifa star jana, kama hajawashutukia yatakua ni matatizo yake binafsi , sasa mnaamia kwa Tulia ili mpige maokoto yake , ambayo mbele yatamsaidia kuwekeza kwa ajili ya vizazi vyake,kwani lazima awe mbunge ,ilo jimbo wamepita wangapi, na je alijua kwamba anaweza kuwa mbunge na kua speaker? Mbona nyuma hamkusifia mpaka leo kisa yupo na maokoto
Tulia atapigwa mapema sana Kwenye jimbo atake asitake pamoja na maokoto yake kama uchaguzi ukifanyika.
Ningekua ni wakaribu yake ,ningemwambia kuacha kugombea angalau Linda heshima kidogo aliyonayo.
Uchaguzi ukifanyika ,utakua ni uchaguzi wa wanahaki vs ccm , na unaweza kwenda vunja history za chaguzi ndani ya bara la Afrika , msichukulie poa jana sio leo ,majira yamebadilika sana
Acha uongo na upotoshaji wako hapa .mimi silipwi na sijawahi kulipwa kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani.kama una ushahidi basi weka hapa huo ushahidi .Sio kahongwa, nimeambiwa kumbe siri ya watu kuweka namba zao ni kukusanya maokoto.
Yaani unaandika makala ndefu ndefu za kusifia kisha wahusika wakisoma na nikuambie ukweli, hawa viongozi wa nchi hii ni washamba kweli kweli!
Hapo kijana ana pigiwa simu na namba asiyo ijua na kuambiwa unafanya kazi nzuri ya kizalendo "keep it up" chukua kidogo hicho kwa ajili ya bando na endelea na uzalendo wako!
Ghafla simu inapokea laki tatu hadi tano kwa hawa kina Lucas mwashambwa ambao ni wakongwe na ndivyo wanavyo ishi.
Watu mnawaona wajinga na kuwakebehi lakini wao wameamua potelea mbali mradi kuna maokoto. Ni kama ambavyo mnaweza kuwasema sana makahaba lakini hawaachi na hakuna aibu sababu ya kipato.
Kuna swali nmeuliza hapo juu hujajibu, Amefanya nini ?Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.Mambo aliyoyafanya Dr Tulia katika jimbo la Mbeya ni makubwa na mengi kuliko aliyoyafanya sugu kwa miaka yake kumi .maana alichokifanya sugu ni kuzurula tu na kuhamasisha vurugu zilizokuwa zinakwamisha maendeleo katika jimbo la Mbeya.
Nenda ukamuulize sugu alifanya nini anachoweza akajivunia katika uongozi wake wa miaka kumi? Akikujibu basi lete hapa hayo majibu.
Pia habari za Taifa stars kufungwa ni jambo la kawaida sana.kumbuka Morocco hao walimfunga hata ureno na spain katika kombe la Dunia na kufanikiwa kutinga nusu fainali kwa mara ya kwanza katika Historia ya michuano hiyo .kiubora kwa Afrika ni ya kwanza na kidunia ya 13. Tulijitahidi na tuna nafasi nzuri tu ya kufuzu katika michuano hiyo.
Dr Tulia atagombea ubunge na kupita kwa kishindo kikuu wakati huo huo Dr Samia Suluhu Hasssan atagombea urais na kuzoa kura zoteHili jitu liambieni likalime.Kwani huyo Tulia amekuambia atagombea ubunge?Kwani hawezi kugombea uraisi?Hii jamhuri ina matakataka ya kutosha.Badala useme Mungu akipenda unaanza kuwa kama wale walioapa mtu atakuwa raisi wa milele bila kusema Mungu akipenda halafu akafa.Shenzi kabisa
Itatusaidia nini?Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa mshindi mapema sana na kuacha wananchi wakifunga barabara na jiji zima kwa shangwe, nderemo na vifijo kushangilia ushindi wake.
Maana kila mtu anasubiri kwa hamu na kwa kiu kubwa sana siku na wakati ufike ili ampigie kura ya ndio Dr Tulia. kila mtu anataka kujiwekea historia ya kumpigia kura Rais wa IPU. kila mtu anataka kuitangazia Dunia kuwa hawakukosea kumchagua kuwa Rais wao wa IPU ,kwa kuwa hata wao wana Mbeya bado wanaendelea kumpenda na kumhitaji kuendelea kuwa mbunge wao.
Kwa sasa kila mwana Mbeya anataka kuja kupiga kura kama sehemu ya kutoa shukurani na asante kwa Dr Tulia kwa kazi kubwa aliyoifanya na kugusa maisha ya wana Mbeya wengi. Dr Tulia kwa sasa hahitaji kutumia nguvu katika kampeni maana wana Mbeya wanaendelea kumpigia kampeni kila siku, wanaendelea kuonyesha na kutaja mambo aliyoyafanya katika uongozi wake ambayo yalikuwa hayajawahi kufanywa na mbunge aliyemtangulia.
Kikubwa tuendelee kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kuwatumikia wana Mbeya .tumuombe Mungu aendelee kumpigania, kumtetea na kumlinda wakati wote. Mungu aendelee kuwa upande wake na kumuongoza katika kila hatua apigayo .lakini pia Dr Tulia naye aendelee kumtumainia na kumtegemea Mungu katika kila jambo kama ambavyo amekuwa akifanya siku zote .
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Kwanini sugu alishindwa kufanikisha hayo anayoyafanya leo Dr Tulia? Hujuwi ni ushawishi wa Dr Tulia na kukubalika kwake na kuwa karibu na viongozi pamoja na serikali yake? Kwani wewe unafikiri kazi za mbunge ni zipi? Majukumu ya mbunge katika kuchochea maendeleo jimboni kwake ni yapi?Barabara kwani huyo Tulia ndiye anatoa pesa, hizo ni kodi za wananchi na ni wajibu wake kutengeneza barabara hilo hata si la kumsifu. Miaka zaidi ya 60 bado mna siasa za ki5senge kusifu uundaji wa barabara na mashimo ya vyoo shuleni.
Inasikitisha sana, mambo yaisha pitwa na wakati, badilikeni.
Acha upotoshaji.Lucas Mwashambwa
Vishkwambi Na Mb Mlizopewa Lumumba Mjitafakari Sana
Mkuu una kazi kweli kweli. Uchaguzi hapa Mbeya hautakuwa rahisi kama unavyopiga propaganda humu. Kwa nafasi yake atatangazwa tu, lakini lazima atoke jasho na akaunti ipungue japo tone.😄😄😄Wewe endelea na biashara yako hapo Desderia. Lakini jimbo la Mbeya mjini ni mali halali ya Dr Tulia uchaguzi ujao.kapewa kibali na wana Mbeya ili aendelee kuwaletea maendeleo
Itasaidia kumpeleka bungeni mtu anayewatetea Watanzania pasipo mipaka.si unaona alivyowasemea wale walimu walioshushwa vyeo kule Tunduma? Huoni Dr Tulia alivyotuletea heshima kama Taifa kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa IPU? Huoni ni heshima kimataifa? Huoni ambavyo amekuwa akitetea mambo mbalimbali bungeni yanayowagusa Watanzania wengi na wa makundi mbalimbali? Huoni alivyo msaada linapokuja suala la sheria bungeni?Itatusaidia nini?
Mimi naongea ukweli na huo ndio ukweli wenyewe.Dr Tulia atapata kura za ndio kwa kishindo na kuwa mbunge wa kwanza kutangazwa mshindi Tanzania nzima.Tunajua kuwa una test mitambo
Namba tumeipata tutakupigia......
Dr Tulia atapita kwa wepesi sana maana wana Mbeya hawataki kurudia makosa waliyoyafanya ya kumpa mtu ubunge asiye jitambua wala kutambua majukumu yake ya kibunge wala kujuwa amechaguliwa afanye nini kwa ajili ya maendeleo ya jimbo. Wana Mbeya wamekataa kabisa kufanya majaribio kwenye maisha yao kwa kumpa tena kura sugu. Wana Mbeya kwa umoja wao wameamua kuwa Dr Tulia ndiye chaguo sahihi na anastahili kuendelea kuwatumikia na kuwaongoza.Mkuu una kazi kweli kweli. Uchaguzi hapa Mbeya hautakuwa rahisi kama unavyopiga propaganda humu. Kwa nafasi yake atatangazwa tu, lakini lazima atoke jasho na akaunti ipungue japo tone.