Dkt. Tulia atakuwa mbunge wa kwanza Tanzania nzima kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge 2025

Mimi naongea ukweli na huo ndio ukweli wenyewe.Dr Tulia atapata kura za ndio kwa kishindo na kuwa mbunge wa kwanza kutangazwa mshindi Tanzania nzima.
We mwenyewe hujiamini ndo maana umekuja kutest humu lakini ikitokea tunakubaliana nayo hivyo usiwe na majibu kama kura unapiga pekeyako vp au mmesha andaa kura nn
 
Mlivyo Wapumbavu eti Jimbo ni "Mali halali" wewe ni mpumbavu Lucas
Wana Mbeya ambao ndio wamiliki na wenye jimbo lao waneamua kumpatia na kumkabidhi Dr Tulia jimbo lao,ili aendeleze kazi nzuri aliyoianza na iliyoleta matunda kwa wanambeya.
 
Ni mbinu za serikali kutotoa mazingira wezeshi hasa kwa wabunge toka upinzani ili kusudi kuwakwamisha kuleta maendeleo majimboni, mbona iko wazi.
 
Ni mbinu za serikali kutotoa mazingira wezeshi hasa kwa wabunge toka upinzani ili kusudi kuwakwamisha kuleta maendeleo majimboni, mbona iko wazi.
Siyo kweli ndugu yangu. Sugu hata uwezo tu wa kuishawishi serikali au kuwa na uwezo wa kushirikiana na serikali alikuwa hana na bado hana uwezo huo wa kiuongozi hana mpaka sana.alikuwa hajuwi afanye nini ili jiji la Mbeya lipokee mabilioni ya fedha kwa ajili miradi mbalimbali pamoja na miundombinu ya barabara.sugu alikuwa anawaza maslahi yake binafsi tu.
 
Kama ni kutangazwa sawa lakini siyo kuchaguliwa maana hata sasa na wenzake wengi mule walitangazwa hawakuchaguliwa
 
Hapo ni Sugu na Mwabukusi.
Hao uliowataja hakuna hata mwenye muda nao. Angalia mfano huyo Mwabukusi majuzi tu hapa aliitisha maandamano kwa kushirikiana na mvuta Bangi Mdude Nyagali,hakuna alijitokeza wala kuwaunga mkono zaidi ya wao wenyewe kukimbilia vichakani kwenda kujificha.
 
Kama ni kutangazwa sawa lakini siyo kuchaguliwa maana hata sasa na wenzake wengi mule walitangazwa hawakuchaguliwa
Dr Tulia alishinda kwa kura halali na hata sasa atashinda na kupita kwa kura halali za kishindo.
 
Kama ni kweli itakua jambo jema! Ni vizuri wasitishe ugawaji wa hilo jimbo ili kupunguza gharama kwa serikali.

Wapinzani wanasema serikali inataka kuligawa jimbo ili kumlinda Dk Tulia.
 
Viongozi wa CCM mkoa wa Mbeya , mchangieni pesa kidogo mdogo wenu Lucas mwashambwa apunguze njaa. Hana uwezo kielimu wa vyeo vya kuteuliwa lakini kwa uwezo wake mdogo anajitahidi kuwapigia debe japo hakuna anayemsikiliza
 
Serikali ndio CCM yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…