Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

Hana vyeti mkuu mi nina uhakika na ninachosema. Ndo mana hawezi kuajiriwa popote zaidi ya kutafuta huruma ya teuzi tu
aajiriwe wap tena na alishaajiriwa na wananchi na bila shaka kaktika muda usokua mrefu anaweza kuajiriawa na wananchi zaidi ya hapo alipo sasa 🐒
 
Zile siyo ajira mana hazina usaili wala competition hata baba levo anaweza teuliwa kuwa mkuu wa mkoa au bambo au mc piilipili au masanja mkandamizwaji
 
Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

Nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

Nje ya watajwa hao, ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Katika hao wote ulio wataja labda mmoja tuu naye ni labda
 
Gentleman,
mimi japo sistahili ila ni zaidi ya hazina ya Taifa,
kwa mfano ukimuona mkuu wa nchi yupo kusini, na Makamu wake yupo kaskazini jua ya kwamba mimi Tlaatlaah nipo katikati yao na nchi ina Amani tele 🐒
Ayo ndo maneno sasa , sio kaa sifia watu ambao uwezo wao ni duni , kumbe wenda upo na uwezo mkubwa mara kumi yao
 
Ndio mheshimiwa, mpya ni kwamba mheshimiwa mwenzio bwana mwigulu kaja jf kusema nchi haijafilisika
actually ni kweli,
Tz haijafilisika na wala haiko kwenye viashiria wala hatari ya kufilisika...

deni la Taifa ni himilivu,
na Tanzania kama tunaaminika duniani tunakopesheka na tunalipa madeni kama kawaida 🐒

by the way wacha ni msabahi kiongozi wetu huyu licha ya kazi na majukumu mazito ya nchi anayoyabeba...

au kuna ubaya wowote ndrugu zango? 🐒
 
Sawa mheshimiwa
 
Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

Nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

Nje ya watajwa hao, ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu, katika orodha yako umewasahau Dr. Msukuma, pamoja na Dr. Babu Tale,
 
Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

Nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

Nje ya watajwa hao, ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unajua kila mtu kapewa akili na MUNGU, ikitokea hutumii akili zako kujifikirisha huwa mara nyingi hufa au kudumaa sasa na wewe naona kabisa akili kudumaa
 
kwahiyo wewe umepanic, right?

hiyo mihemko, hasira na chuki binafsi dhidi ya maoni na mitazamo ya wengine hali ya kua wewe huna mawazo mbadala, kama inakusaidi, basi ongeza juhudi gentleman, soon utatoboa 🐒
Acha ujinga na kujidhalilisha, sasa kusifiasifia watu ndio mawazo mbadala.
Kwa hiyo wewe ndugu mawazo yako mbadala ni kusifiasifia watu.
 
mawazo mbadala maana yake yaliyo tofauti na yangu au bora zaidi ya yaliyoko mezani 🐒

sasa kama maoni na mtazamo wangu ni mihemko, hasira na kejeli, hiyo ni shida yako binafsi...

kwangu mimi ni useless na ni nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom