Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Nakuuliza swali moja na unijibu.Nasema hivi, ukipanic lazima utaongea vitu vya ajabu, kwenye post yako umemtaja Marando, yeye ni nani ili nijue kama hujapanic? Isitoshe ulichoandika hakina mtiririko mzuri, na umechanganywa mambo mengi kwa pamoja, mpaka nimeshindwa kuelewa hoja yako ni nini hasa.
Hoja yangu ni kwamba Mpaka sasa Upinzani umefanikiwa katika kuwashibisha baadhi ya viongozi wa wake tu.Nasema hivi, ukipanic lazima utaongea vitu vya ajabu, kwenye post yako umemtaja Marando, yeye ni nani ili nijue kama hujapanic? Isitoshe ulichoandika hakina mtiririko mzuri, na umechanganywa mambo mengi kwa pamoja, mpaka nimeshindwa kuelewa hoja yako ni nini hasa.
Nakuuliza swali moja na unijibu.
Ni nani unayemwona Mpizani halisi katika nchi hii.
Mpinzani Mzalendo anayefuata utawala wa Siasa za kidemokrasia.
Kati ya hao viongozi wa Upinzani
Nitajie mmoja tu tumchambue hapa
Hoja yangu ni kwamba Mbaka sasa Upinzani umefanikiwa katika kuwashibisha baadhi ya viongozi wa wake tu.
Na sio kuyafikia malengo ya upinzani ya
1.Kuwa na Wabunge wengi wa kuchaguliwa
2. Kuchukua Dola.
Hayo ndiyo malengo ya Upinzani.
Siasa za Upinzani za Tanzania zimejaa Ubabaishaji tu kwa viongozi wake kutaka kujilimbikizia mali na kung'ang'ania Madalaka.
Ndio maana Nchi jirani kama Kenya, Malawi, Zambia, Congo, nk Zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa ktk Siasa za Upinzani.
Upinzani wa Viongozi kama Mbowe Marando na Mrema, ni wa kutaka kuitwa Ikulu na Kunywa Chai tu.
Kesho utasikia wamehamia CCM.
Ndio maana Watanzania wengi hawapigi kura za Uraisi.
Kwakuwa
Wameichoka CCM na pia
Hawamwoni Mpinzani wa kumkabidhi Hazina Yao.
Wanabaki kujiandikisha na kuchukua Vitambulisho tu vya kusajiria laini za Simu.
Kwa miaka yote ya Upinzani TanzaniaHuna uwezo wa kuchambua maana hata uandishi wako ni mbovu, we sema niweke jina la mpinzani tuanze kubishana na sio kuchambua, maana huna uwezo huo. Upinzani ni mwenendo sio mtu, sasa unataka nikutajie mtu uanze kuniambia huwa anavaa miwani na suti nyeusi, hivyo amehongwa na ccm.
Bunge limekubali kukaa kimya tuhuma nzito. NEC imekubali kukaa kimya tuhuma nzito kama hiziMkuu hii inasikitisha mno. Nawashangaa watu wanaoona tatizo kubwa ni utaratibu uliotumiwa na Chadema kuwafukuza wakina Halima wakati mtu hata kuinsinuate kuwa institution kama Bunge ni corrupt ni jambo la hatari mno. Nilitegemea Bunge lipigane kufa na kupona kujisafisha kwenye hizi tuhuma.
Dokta kavurunda kweli, yaani ni aibu sana. Eti Daktari Tulia kapewa barua na COVID19 kwamba wanaenda mahakamani! akakubali tuu bila kujiuliza chochote.Dokta amejiharibia kwenye hilo. Ndio ubaya wa kuchagua upande wakati mtu unapaswa kuwa neutral and beyond reproach. Namkumbuka Spika wa House of Commons John Bercow alivyokuwa ana hakikisha kuwa serikali haiburuzi upinzani ingawa mwenyewe alikuwa Conservative.
Amandla....
Swali zuri sanaKama Chadema waligoma kupeleka wabunge wa viti maalumu hao waliopo walipatikanaje?
Bila kuwachukua akina MdeeAnzisha chama cha upinzani mkuu uchukue nchi, maana hutaalikwa ikulu ili kwenda kunywa chai na juice.
Kwa miaka yote ya Upinzani Tanzania
Nitajie mafanikio waliyofikia vyama vya upinzani ?
MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.
View attachment 2227166
Bila kuwachukua akina Mdee
Wapinzani mlikuwa na Wabunge wa kuchaguliwa wasiozidi Watano Bungeni.
Miaka yote ya Siasa za Upinzani Tanzania.
Huoni kuwa hii ni fedheha kwa vyama vya upinzani na Upinzani Nchini Tanzania ?
Sasa mbona ukiambiwa hivyo unakataa.Mafanikio ni kwenda ikulu kunywa juice na chai kaka.
Wewe kama mkubwa katika Siasa za upinzani umefanya nini cha maana hadi muda huu.Huna ujualo, ni vyema ukatafute watoto wenzio mjadiliane. Vinginevyo anzisha chama uchukue nchi.
Ahsante,Kwani Zitto Kabwe alipofukuzwa akiwa Mbunge hakuendelea kuwemo bungeni wakati kesi yake ikiendelea kuunguruma? Mbona wazungumza juu ya wale wa CUF huku Zitto humzungumzii?Na hadi alimaliza kipindi cha miaka 5.
Ahsante,Kwani Zitto Kabwe alipofukuzwa akiwa Mbunge hakuendelea kuwemo bungeni wakati kesi yake ikiendelea kuunguruma? Mbona wazungumza juu ya wale wa CUF huku Zitto humzungumzii?Na hadi alimaliza kipindi cha miaka 5.
Mkiambiwa ukweli hamtaki sasa baking na unachojuaUmeanza lini kufanya kazi ikulu?
Mama anakutana na wanasiasa wote,
Shida yenu chadema ni kujiona wakubwa sana