Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende
 
Tunaongelea Katiba ya nchi, ikiwa ndiyo supreme ya sheria zote za nchi hii.

Katiba inatamka wazi kuwa Mbunge yeyote ni LAZIMA atokane na chama cha siasa.

Sasa swali jepesi tu, kwa Spika Tulia Ackson, hivi Hawa akina Halima Mdee, utaendelea kuwakumbatia ubunge wao, wakiwa Hawana chama chochote cha siasa??

Hivi huoni Spika Tulia Ackson, kuwa wewe ndiye unayeivunja Katiba ya nchi yetu??
 
"Wakina Mdee walivuliwa uanachama wao kwa kutiii sheria ya viti maalum"
Hiyo sentence yako imetosha kukuelezea jinsi ulivyo mtupu kichwani!
Kwa hiyo ulitaka Covid-19 wawe wabunge bila kufuata utaratibu wa chama chao.....kusudi watii matakwa ya CCM?

Chama akitaki

I think wakina sugu na msigwa wangekuwa wanaweza kujibadili kuwa wanawake I'm sure na wao wangeenda tu

Miaka yote mnaibiwa Kura, miaka yote uchaguzi sio huru mbona mlikuwa mnaenda? This time Kwa vile hakuna mwanaume kashinda ndio mnasusa
 
Hivi umesikia hotel walizokwenda kulala samia na kikosi chake huko MAREKANI ?Halafu anakuja huku kusema maisha magumu?@Tindo nchi imeuzwa Kwa waarabu wa dubai
CDM mmesha Toka kwenye reli sas HV mnaamia hotel Tena duh hmn agenda
 
Hivi umesikia hotel walizokwenda kulala samia na kikosi chake huko MAREKANI ?Halafu anakuja huku kusema maisha magumu?@Tindo nchi imeuzwa Kwa waarabu wa dubai
Embu anzisha uzi utambia walila vip
 
Chama kilisema wazi uchaguzi ulikuwa batili, hao Covid wangeanzisha chama chao wapeleke wabunge kiasi chochote watakacho.

Lini au mwaka gani chadema walisema uchaguzi ulikuwa huru?

Mbona mlikuwa mnaenda bungeni?

Au this time because wanawake ndio walitakiwa kwenda?

Tindo ww ni mtu ambae Una hoja Sana jaribu kuangalia hili jambo Kwa upande mwingine
 
smart tena? hii ni opportunity nzuri sana kwa dunia kuona unafiki wa awamu ya sita, unajua picha za ikulu na kina mbowe zinaonyesha mabeberu kwamba kila kitu kiko sawa
Issue ya mzee mdee na mabinti zake 18 ni golden opportunity ya kuwavua watu nguo...halafu ni msamaha gani huo utolewe kwa waliokataa kuomba msamaha? twende hivyohivyo tu unafiki huu will be unveiled
 
Kuna bunge hapo! Ni kikundi cha wapuuzi fulani hivi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Jambo litatokea na wale watakaa mpaka 2025 me nakwambia

Mlisema magu kafa, mara ndugai katoka mara Baraza kuu wale wapo Tu

Sio muda wote wa kudindia serikali
 
Kwani Zitto Kabwe alipofukuzwa akiwa Mbunge hakuendelea kuwemo bungeni wakati kesi yake ikiendelea kuunguruma? Mbona wazungumza juu ya wale wa CUF huku Zitto humzungumzii?Na hadi alimaliza kipindi cha miaka 5.
 
Lini au mwaka gani chadema walisema uchaguzi ulikuwa huru?

Mbona mlikuwa mnaenda bungeni?

Au this time because wanawake ndio walitakiwa kwenda?

Tindo ww ni mtu ambae Una hoja Sana jaribu kuangalia hili jambo Kwa upande mwingine

Hivi ni unadhani hatujui tofauti ya uchaguzi uliopita na chaguzi nyingine? Kwani hiyo miaka mingine wanawake walikuwa hawaendi? Au hizo propaganda mfu kuwa kwakuwa ni wanawake unadhani na mimi kupatikana kirahisi hivyo? Kwahiyo ile miaka Halima Mdee aliyoenda alikuwa mwanaume? Toka kwenye propaganda ya uanamke uwe objective.
 
Wanawake walikuwa wanaenda because na wanaume walikuwa wanaenda,

Twende taratibu no hasira kaka
 
Hakuna Jambo litatokea na wale watakaa mpaka 2025 me nakwambia

Mlisema magu kafa, mara ndugai katoka mara Baraza kuu wale wapo Tu

Sio muda wote wa kudindia serikali

Huko acha wakae hata mpaka 2050, lakini sio kama wanachama wa CDM. Serekali iliyopo madarakani kwa wizi wa kura ww ndio unapaswa kuiheshimu maana una maslahi nayo binafsi.
 
Huko acha wakae hata mpaka 2050, lakini sio kama wanachama wa CDM. Serekali iliyopo madarakani kwa wizi wa kura ww ndio unapaswa kuiheshimu maana una maslahi nayo binafsi.

Wizi wa Kura Kwa Africa ni Jambo la kawaida, hata mbowe akiwa rais still ataiba Kura
 
Wanawake walikuwa wanaenda because na wanaume walikuwa wanaenda,

Twende taratibu no hasira kaka

Kwahiyo walikuwa wanaenda kama gender balance ama? Hata ingetokea mwanaume achaguliwe na aende bado tungempa kubwa yake. Mbowe mwenyewe sasa hivi hatumuelewi anaenda ikulu mwenyewe kufuata nini, au naye utasema kwakuwa tumeona anaenda kuongea na mwanamke?

Ww ndio unajua ni wanawake, sisi tunajua ni wasaka maslahi binafsi wakati chama kimehujumiwa wazi wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…