hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Hapo ndipo uwezo wako umeishia?
Sasa nyie wenye uwezo mrefu WA akili si mnaona mlivyotupwa nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo uwezo wako umeishia?
Je ikionekana wamefukuzwa kihalali hizi Siku watakazoingia bungeni Hadi uamuzi huoni Kodi yetu itakua imeenda bure Kwa malipo yao
Tunaongelea Katiba ya nchi, ikiwa ndiyo supreme ya sheria zote za nchi hii.Wale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
"Wakina Mdee walivuliwa uanachama wao kwa kutiii sheria ya viti maalum"
Hiyo sentence yako imetosha kukuelezea jinsi ulivyo mtupu kichwani!
Kwa hiyo ulitaka Covid-19 wawe wabunge bila kufuata utaratibu wa chama chao.....kusudi watii matakwa ya CCM?
CDM mmesha Toka kwenye reli sas HV mnaamia hotel Tena duh hmn agendaHivi umesikia hotel walizokwenda kulala samia na kikosi chake huko MAREKANI ?Halafu anakuja huku kusema maisha magumu?@Tindo nchi imeuzwa Kwa waarabu wa dubai
Embu anzisha uzi utambia walila vipHivi umesikia hotel walizokwenda kulala samia na kikosi chake huko MAREKANI ?Halafu anakuja huku kusema maisha magumu?@Tindo nchi imeuzwa Kwa waarabu wa dubai
Tunataka Kodi zetuCDM mmesha Toka kwenye reli sas HV mnaamia hotel Tena duh hmn agenda
Chama kilisema wazi uchaguzi ulikuwa batili, hao Covid wangeanzisha chama chao wapeleke wabunge kiasi chochote watakacho.
smart tena? hii ni opportunity nzuri sana kwa dunia kuona unafiki wa awamu ya sita, unajua picha za ikulu na kina mbowe zinaonyesha mabeberu kwamba kila kitu kiko sawaKaka wala no need ya hasira
Haya yote chanzo ni chadema wenyewe, yote mnayoongea yanaweza kuwa Sawa Ila mnasahau kuwa tuko Africa, hapa sio ulaya au marekani
Kesi itaendeshwa na wakina mdee watashinda
Mbowe angekuwa smart angewasamehe Tu nakuwambia wapige michango Yao kama zaman wachukue ruzuku zao then wajipange upya
Kuna bunge hapo! Ni kikundi cha wapuuzi fulani hivi!Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
smart tena? hii ni opportunity nzuri sana kwa dunia kuona unafiki wa awamu ya sita, unajua picha za ikulu na kina mbowe zinaonyesha mabeberu kwamba kila kitu kiko sawa
Issue ya mzee mdee na mabinti zake 18 ni golden opportunity ya kuwavua watu nguo...halafu ni msamaha gani huo utolewe kwa waliokataa kuomba msamaha? twende hivyohivyo tu unafiki huu will be unveiled
Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Hivi inakuwaje sasa kwa Hawa wabunge wa Chadema, Spika aendelee kuwakumbatia Hadi pale mhimili wa Mahakama utapotoa hukumu??
Lini au mwaka gani chadema walisema uchaguzi ulikuwa huru?
Mbona mlikuwa mnaenda bungeni?
Au this time because wanawake ndio walitakiwa kwenda?
Tindo ww ni mtu ambae Una hoja Sana jaribu kuangalia hili jambo Kwa upande mwingine
Hivi ni unadhani hatujui tofauti ya uchaguzi uliopita na chaguzi nyingine? Kwani hiyo miaka mingine wanawake walikuwa hawaendi? Au hizo propaganda mfu kuwa kwakuwa ni wanawake unadhani na mimi kupatikana kirahisi hivyo? Kwahiyo ile miaka Halima Mdee aliyoenda alikuwa mwanaume? Toka kwenye propaganda ya uanamke uwe objective.
Hakuna Jambo litatokea na wale watakaa mpaka 2025 me nakwambia
Mlisema magu kafa, mara ndugai katoka mara Baraza kuu wale wapo Tu
Sio muda wote wa kudindia serikali
Huko acha wakae hata mpaka 2050, lakini sio kama wanachama wa CDM. Serekali iliyopo madarakani kwa wizi wa kura ww ndio unapaswa kuiheshimu maana una maslahi nayo binafsi.
Basi unaona umeongea point kweli kumbe empty set. Zero.Yes coz chama kilivunja sheria ya kutotiii kupeleka wabunge wa viti maalum, Kwa sababu zao binafsi
Wanawake walikuwa wanaenda because na wanaume walikuwa wanaenda,
Twende taratibu no hasira kaka