muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Kama haya maneno katamka spika,basi sina la kuongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,tuliwaita Kula Lala Faulu.
Atajua wapi,kazoea kukariri vifungu vya sheria.Nimeipenda hii [emoji3][emoji28]
Kula Lala Faulu (KLF) [emoji1787]
Kumbe uchambuzi wa kimahesabu hawezi kujua,
Project Plan ana analysis hawezi kujua,
Alipaswa aunde Kamati ya wataalam walobobea kwenye Projects Plan and analysis and related waupitie na kumshauri inadvance.
Kuna hoja yoyote ya Nshala, Lissu, Mwabukusi et al iliyojibiwa?"Kama nchi imeuzwa wewe umeuzwa shilingi ngapi? kabla ya bei yangu mimi maana mimi jamani wana mbeya wananithamini sana kwa hiyo mimi ni mtu wa thamani kwa hiyo bei yangu itqkuwa juu kidogo si ndiyo jamani sasa wewe wa kawaida bei yako shingili ngapi jibu huna?"
Source: Haroub TV.
Uwezo wake haujazeeka mkuu Netanyahu, punguza povu rudisha sauti chini.We chizi nini? akiwa mwanasheria hawezi kuzeeka? siyo size yako wewe na familia ako
Huo udini anaouandika hapa ndiyo point?Uwezo wake haujazeeka mkuu Netanyahu, punguza povu rudisha sauti chini.
Udini ni tafsiri binafsi na ni kichaka cha kukimbilia wale watupu vichwani.Huo udini anaouandika hapa ndiyo point?
Sawa. Mheshimiwa Spika, alisomea sheria na akafundisha sheria chuo kikuu. Lakini kuna watu kama Prof. Shivji waliomfundisha hiyo sheria. (Hata kama Spika hakukaa kwenye darasa la Shivji, lakini Shivji alikuwa akifundisha hapo chuoni wakati Spika anasoma). Jee, hao walikuwa wapumbavu tu wanaozeeka na upumbavu wao kama anavyodai Mheshimiwa? Na hao wanasheria wengine kama Mwambukusi na Nshala waliosoma sheria kama yeye, Mheshimiwa, wote hao ni 'wapumbavu' tu wasiojua walisemalo?Ni sawa tu, hata wapumbavu huzeeka na ujuha wao, ajibu Hoja,huo usalama anaousema upo wapi ndani ya mkataba, sio kuleta mbambamba.
Safi kabisa!!!SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.
"Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao"
"Kama nchi imeuzwa wewe umeuzwa shilingi ngapi? kabla ya bei yangu mimi maana mimi jamani wana mbeya wananithamini sana kwa hiyo mimi ni mtu wa thamani kwa hiyo bei yangu itqkuwa juu kidogo si ndiyo jamani sasa wewe wa kawaida bei yako shingili ngapi jibu huna?
unasema bandari imeuzwa haya sawa nimekubali swali shilingi ngapi ili nijue Mbeya mjini mgao utakuwa kiasi gani si wewe unaijua bei sasa kama bei hujui wewe sio sehemu ya sheria mimi nimesoma kama kuna vibao vinasema elimu mwisho hapa mimi sikuishia hapo nilieda mbali zaidi mimi sio tu mwanasheria msomi ahh, mimi ni mtafiti nilikuwa nafundisha sheria chuo kikuu cha Dar es Salaam, ule mkataba msiwe na wasiwasi mimi mbunge wenu kama mwakilishi wenu nasema hivi tuko salama, Mbeya mjini tuko salama, tanzania tuko salama, na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yeye yuko salama usimsikilize mtu.
Mtu mpumbavu wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao.
Source: Haroub TV.
Ungekuwa na akili tungekuelewa lazima siku zote nawe nu mtupu kichwa kama unaemteta. Kusoma sio kuelemika!Namuunga mkono mh.Spika Dr.Tulia[emoji120]
Hakika ameongea yenye mantiki haswa[emoji120]
Msomi haswaaa[emoji120]
Kweli wako WANAOZEEKA NA UPUMBAVU WAO [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atajua wapi,kazoea kukariri vifungu vya sheria.
[emoji1787][emoji1787]Ungekuwa na akili tungekuelewa lazima siku zote nawe nu mtupu kichwa kama unaemteta. Kusoma sio kuelemika!
Tulia, tulia!! Inaelekea Tulia ameshindwa ku-tulia!! Ameamua kurusha matusi na kuwaambia wazee wanaopinga mkataba wa bandari ni wapumbavu maana wamezeeka na upumbavu wao!! Tulia asitutishe na PhD yake!! Kwa Tanzania PhD hazina heshima maana wenye nazo wanafanya mambo ya hovyo kuliko wasiokuwa nazo!! Tulia ajibu kifungu kwa kifungu vifungu vile vinavyolalamikiwa!!SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.