Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

Kama hilo darasa la sheria na hizo tafiti alisoma na kufanya mwenyewe kati ya watu wote naweza kumuelewa.
Ila asitutishie usomi wake ambao tija yake katika taifa na hata taasisi anayoiongoza mekua ni ndogo sana.
 
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.

"Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao"

"Kama nchi imeuzwa wewe umeuzwa shilingi ngapi? kabla ya bei yangu mimi maana mimi jamani wana mbeya wananithamini sana kwa hiyo mimi ni mtu wa thamani kwa hiyo bei yangu itqkuwa juu kidogo si ndiyo jamani sasa wewe wa kawaida bei yako shingili ngapi jibu huna?

unasema bandari imeuzwa haya sawa nimekubali swali shilingi ngapi ili nijue Mbeya mjini mgao utakuwa kiasi gani si wewe unaijua bei sasa kama bei hujui wewe sio sehemu ya sheria mimi nimesoma kama kuna vibao vinasema elimu mwisho hapa mimi sikuishia hapo nilieda mbali zaidi mimi sio tu mwanasheria msomi ahh, mimi ni mtafiti nilikuwa nafundisha sheria chuo kikuu cha Dar es Salaam, ule mkataba msiwe na wasiwasi mimi mbunge wenu kama mwakilishi wenu nasema hivi tuko salama, Mbeya mjini tuko salama, tanzania tuko salama, na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yeye yuko salama usimsikilize mtu.

Mtu mpumbavu wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao.

Source: Haroub TV.
Mimi nimesoma Rungwe Alliance Secondary School mwaka 1965-1968. Ni mzee ambaye bila shaka Tulia ataniita "mpumbavu". Nina marafiki wengi sana wa Mkoa wa Mbeya wa zamani. Mimi sitoki mkoa huo. Nilikutana Kisungu, Mwakaleli,Kambasegela na wazee ambao hawana PHD lakini wakizungumza walikuwa na hekima kuliko Tulia. PHD ni njia moja tu ya kuelimika kama hukuwa kasuku au bado hujasahau ulichosoma. Kuna njia nyingi nyingine za mtu kuelimika. Alama ya PHD haikupi elimu, ni cheti cha ufaulu tu wa jambo moja finyu sana. Kwa kifupi kabisa Waingereza huita ugonjwa wa Tulia wa kutotofautisha kiwango cha ufaulu kwenye cheti cha shahada na kiwango cha kuelimika, "the case of a person's schooling interfering with his/her education". Poleni.
 
[emoji1787][emoji1787]

Shule huondoa ujinga kwa walidhamiria tu na si vonginevyo! Unaweza enda shule ukaonekana ni shujaa wa manamba, kumbe ni nguvu ya fedha na rushwa ya ngono n.k, hapa sjasema ni nani aliganya hivyo, ila mambo haya yapo mavyuoni, ma lectures wanajipigia papuchi ili tu kuwapa credit wajinga kichwani

Hapo Dr. Alikuwa akijibu hoja ipi sasa kuhusu bandari na mjadala wake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tangu tulia ajikabidhi kwa Samia aliposema bunge litafuata ushauri wa serikali, badala ya serikali kufuata maagizo ya bunge, hapo ndipo nikajua bunge linaongozwa na kikaragosi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wiki hii upo maeneo gani?
Maana[emoji1787]
 
Huyo unayemuita ajuza ni daktari wa sheria aliyekuwa mwanasheria mkuu msaidizi wa JMT. Sio saizi yangu na yako.

Ajuza sio tusi.

Halafu Kwani kufikia vyeo hivyo Ndiyo nini? Si inategemea na kujulikana au kuwa na connection kwa mteuzi?
Maana nafasi hazitangazwi.

Halafu historia ni irrelevant,

Mtu atakuhumiwa kwa maamuzi anayofanya sasa na sio hizo hadithi zako za sijui aliwahi kuwa nani na nani !

It has nothing to do with current situation.

Aamue fairly and correctly Kwa niaba ya wananchi na kwa manufaa ya Umma.

Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi .

Tutanatajia wawe wanafanya maamuzi kana kwamba ingeamuliwa na wananchi wengi.
 
[emoji1787][emoji1787]

Shule huondoa ujinga kwa walidhamiria tu na si vonginevyo! Unaweza enda shule ukaonekana ni shujaa wa manamba, kumbe ni nguvu ya fedha na rushwa ya ngono n.k, hapa sjasema ni nani aliganya hivyo, ila mambo haya yapo mavyuoni, ma lectures wanajipigia papuchi ili tu kuwapa credit wajinga kichwani

Hapo Dr. Alikuwa akijibu hoja ipi sasa kuhusu bandari na mjadala wake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ajuza sio tusi.

Halafu Kwani kufikia vyeo hivyo Ndiyo nini? Si inategemea na kujulikana au kuwa na connection kwa mteuzi?
Maana nafasi hazitangazwi.

Halafu historia ni irrelevant,

Mtu atakuhumiwa kwa maamuzi anayofanya sasa na sio hizo hadithi zako za sijui aliwahi kuwa nani na nani !

It has nothing to do with current situation.

Aamue fairly and correctly Kwa niaba ya wananchi na kwa manufaa ya Umma.

Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi .

Tutanatajia wawe wanafanya maamuzi kana kwamba ingeamuliwa na wananchi wengi.
Anaowaongoza wanamuelewa na kukubali namna anavyotumia nguvu ya hoja kwenye kila utatuzi wa masuala ya kikazi.

Humu jukwaani hakuna spika anayeonekana kufanya kazi vizuri, saa nyingine watanzania tunasumbuliwa na uwezo mdogo wa kuelewa mada husika na tunatanguliza matusi na kejeli kama kinga zetu.
 
Ingekuwa nchi nyingine mbawala angeshajiuzuru mwenyewe Kwa vuguvugu la mwitikio hadi wa huo Mkataba no matter what.
 
Back
Top Bottom