hajawahi kufanya hata media conference hata moja kutueleza hali ya kisiasa ndani ya chama na maendeleo yake.Japo Mimi siyo mwanasiasa au shabiki wa chadema but huyu Katibu Mkuu Mashinji ni kama tu hakuwepo kwa miaka yote kama kiongozi. Apumzike tu maana kazi hakuiweza mpaka unajiuliza kama yupo au kalazwa hospital akiwa coma.
Japo Mimi siyo mwanasiasa au shabiki wa chadema but huyu Katibu Mkuu Mashinji ni kama tu hakuwepo kwa miaka yote kama kiongozi. Apumzike tu maana kazi hakuiweza mpaka unajiuliza kama yupo au kalazwa hospital akiwa coma.
Inawezekana hujui majukumu ya Katibu Mkuu. Katibu mkuu si mtu wa kuonekana onekana kila siku, siyo mwenyekiti wala msemaji wa chama. Ni mtendaji mkuu wa chama.Japo Mimi siyo mwanasiasa au shabiki wa chadema but huyu Katibu Mkuu Mashinji ni kama tu hakuwepo kwa miaka yote kama kiongozi. Apumzike tu maana kazi hakuiweza mpaka unajiuliza kama yupo au kalazwa hospital akiwa coma.
Hata wewe akiondoka mkeo atakutangaza unakojoa kitandani mara hujui chichote ndani, lakini kabla ya hapo alikuwa anakutunzia siri maana hakuwa na na mana, kwa hiyo hayo maisha yapo tu, angeanza kubwatuka mngesema msariti mara kanunuliwa, mara ajieleze kwa nni asifukuzwe, na ndo maana alikaa kimya kuheshim kazi yake.
Wew uhahic itakuwa wapAmeyasemea wapi hayo ?
Huyu jamaa ni mwenyeji wa makumbusho!Ukitafakali kauli hii ya aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vicent Mashinji inaleta picha na tafakuli kubwa kama sio attention kwa watu wenye akili timamu inawezekana kuwa mambo hayakuwa mazur kipind chote cha mchakato wa uchaguzi ama mambo yalikuwa shwari tu but all in all ukweli anaujua mwenyew na ipo siku atakuja kufafanua kauli yake hii tata
Kweli ni MTENDAJI ila kama MTENDAJI kuna yake wanatakiwa yaonekana au kusema kwa umma. Nikupe mfano tu halisi Je Bashiru ni nani? Je Kinana alikuwa nani? Je Dr Slaaa a.k.a mihogo ya kukaanga alikuwa nani? Basi huyo Vicent Mashinji ni Mashinji kwelikweli tena na PhD holder. Ila pia nisiseme sana kwa sababu planted wako wengi na inachukua muda kuwagundua. Acha akapumzike au arejee kwa aliyemtuma.Inawezekana hujui majukumu ya Katibu Mkuu. Katibu mkuu si mtu wa kuonekana onekana kila siku, siyo mwenyekiti wala msemaji wa chama. Ni mtendaji mkuu wa chama.
kama bimkubwa wako genge lakeTanzania hakuna upinzani....kuna genge tu la washkaji fulani amazing
Mbona unamgonga sana Dr? Kumbuka jamaa bado anaumia na kesi mahakamani sababu ya hicho chama.
Kilichomsukuma mleta mada ni neno "SIRI". Au hiyo statement kwamba " kila mtu ametoka na siri yake" yeye akataka tuamini kuwa Mashinji kabeba mambo ya kuichafua CHADEMA.nimeiona hiyo tweet ya mashinji, ni kitu tofauti na unavyotaka kuwaaminisha watu. mashinji alichosema kuwa walikuwa na kazi ngumu na wameimaliza salama wakiwa wamoja. na kuwa kila mmoja ametoka na siri yake na kkuwashukuru wote waliofanikisha uchaguzi kumalizika salama